We jamaa bwege kweli. Dah nimecheka hadi nimetapikaNaona kama vile mtoa mada amelenga kwenye viwanda vidogo vidogo vya unyoaji nywele.
We jamaa bwege kweli. Dah nimecheka hadi nimetapikaNaona kama vile mtoa mada amelenga kwenye viwanda vidogo vidogo vya unyoaji nywele.
View attachment 506698
Mbona hii yuko sawa tu, Kinyozi ni Jipu
Actually nilidhani anandika kumsifia as zile nywele anavyomnyoa utadhani mashine ile ya umeme ya kufyekea majani. So smart!tangu nianze kumuona huyo PM nywele zake zpo hvyo hvyo labda ndo style yake
Hivi kinyozi wa PM sio mtumishi wa UMMA ?Si ndio mkao w sura yake? Uso umezidi upande mmoja ndivyo alivyo. Kunyozi ht akikosea kwani yeye hajioni kwenye kioo? Yeye ndio anajiua yukoje na mpk akubali kuondoka na kumlipa ina maana karidhika na kaxi iliyofanywa mwilini mwake.
Haaa haaaaa akaguliwe vyeti???? Haaaaa mbv zangu jmn eeeeehhhHivi kinyozi wa PM sio mtumishi wa UMMA ?
picha
Nimecheka hadi machozi yamenitoka hahahaaaaaaLabda anamnyoa huku anaogopa..
Jamaa kama "Dr. Love" Pimbi.tangu nianze kumuona huyo PM nywele zake zpo hvyo hvyo labda ndo style yake