Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

Tatizo siyo kinyozi ila kwa mbele nywele zake upande zimesogea mbele na upande mwingine zimerudi nyuma
 
heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.png
 
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.

Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.

Haa kinyozi ajirekebishe hata mimi nimeona
 
Ndivyo alivyo kinyozi anamchonga kutokana na muelekeo wa nywele
Nakuunga mkono njia za nywele zipo tofauti wengine nywele zimeanzia ndani na wengine zimeshuka karibu na komwe mi kwel kabisa
 
Jamaa anaweza kuwa na kovu watu hatujui,kwamba hata dereva wake au wasaidizi wanashindwa kumshtua haiwezekani
 
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.

Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.

Linaweza lisiwe kosa la Kinyozi, labda Waziri Mkuu ni mlemavu
 
Hamna kosa la kinyozi hapo. Hata mimi napenda kinyozi afuate "hairline" jinsi ilivyo na sio kuweka mbwembwe nyingi.
 
Kweli enzi zile vijana wa zamani wanakumbuka ile fashion ya Kambona! PM wetu naona naye kaja na ya kwake🙁
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom