Kweli asee anatuharibia mh.wetu
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.
Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.
Pamoja sana mkuu rekebisha hilo bhanaTatizo sio langu jamani...nilipoanza kumnyoa PM kwa mara ya kwanza nilimuuliza ananyoa MTINDO gani...
Alinijibu/aliniambia nimnyoe kama alivyo....kwa maana nifuate mtindo nilio mkuta nao..
Kazi yangu hadi leo sio kumnyoa bali ni kumpunguza tu nywele...
Next time tutarekebisha....nilikuwa sijawahi kugundua kasoro hiyo....
Kweli wana JF... I SALUTE...nyie ni WAFUKUNYUKU...(wadukuzi)
Tena hata picha za ujanani PM anaonekana hivyo. Ni muundo wa kichwa chake.Ndivyo alivyo kinyozi anamchonga kutokana na muelekeo wa nywele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kinyozi atakuwa UKAWA na bado anatakiwa amnyoe aonekane kakatika shingo.
Khaa,,, mkuu umenikusha mbali sanaKwenye vikao vya Bunge la Bajeti mwaka 2011 Magufuli akiwa Waziri wa ujenzi aliwahi kujibu swali la Zitto Kabwe na Moses Machali juu ya kwa nini barabara ya Kigoma - Nyakanazi ianzie Nyakanazi wakati plan ilikuwa kuanzia Kigoma, jibu lilikuwa ni kwamba kinyozi anaamua mwenyewe nianzie kisogoni au mbele, wewe unayenyolewa utasubiri kuambiwa tayari.