Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

tangu nianze kumuona huyo PM nywele zake zpo hvyo hvyo labda ndo style yake


KWELI TUMEKOSA KAZI ! JAMANI TUFANYE KAZI, HII YA KUJADILI MH. KANYOLEWA VIPI ITASAIDIA CHOCHOTE KWELI ?? FANYA KAZI !!
 
Halafu mheshimiwa naye kama anapaka yale madude anayopaka kichwani sam mahela wa itv
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifurahisha sana, hata mimi nikienda saloon kinyozi wa hapa nyumbani huwa ananiita majaliwa maana nywele zangu za pembeni ni laini sana hivyo akinichonga huwa kama zinaisha zote na kuingia sana ndani.
 
Hii kitu huwa najiuliza kila siku au ndio style ya mh.maana ingekua nikukosea isingelikua upande huo sikuzote mwaka wapili sasa
 
Hapo si sual la kinyozi wala nini Mh.mwenyewe umbo lake la nywele limekaa hivyo yaani ndivyo alivyo.....si kwamba we ndo wa kwanza kujua hilo huenda ye na familia yake analijua na ni tangu akiwa mdogo
 
Hivi huyu mkuu ana nywele nyeusi hivi au ndo ufundi umehusika?
 
hili swala hata mimi nilikua naliona tangu muda tuu nalifatilia .. kumbe tupo wengi bhana
 
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.

Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.

Tuwasiliane...kuna kinyozi mzuri sana angemfaa kwa style yake ya kunyoa PM. Binafsi hua inaniuma sana PM ni ntanashati sana tatizo kinyozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom