faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,725
Binafc nasema hpna ni pozi lake tu au mpiga pcha tu hayuko vzri angalia vzr msije sababisha huyo kinyozi akakosa kazi yke
Binafc nasema hpna ni pozi lake tu au mpiga pcha tu hayuko vzri angalia vzr msije sababisha huyo kinyozi akakosa kazi yke
Aige aka kamnyoo kangu
[emoji23][emoji23][emoji23]kinyozi atakuwa UKAWA na bado anatakiwa amnyoe aonekane kakatika shingo.
Hiyo Avatar mamamimi naona kama kichwa kimekaa upande mmoja mrefu mmoja mfupi. ila ukiwa maarufu utachunguzwa mpaka utajuta
Aiseeeeh
Duniani kuna watoto wazuuuuuri.
binadamu wote ni sawaAiseeeeh
Duniani kuna watoto wazuuuuuri.
asanteWewe huyu...hongera
kumbe eee
Nywele za waziri zimepinda