Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

Chanuo kubwa baada ya kuoga na kuzipigapiga zikishakaushwa.
 
Nilikuwa namuambia The bold juzi kuhusiana na hili.
Yeye alichonijibu ni kwamba labda kamuiga Pimbi (katuni) hahahaaaaaa
Nimecheka sana nilipoikuta hii mada humu.
"Pimbi katuni"[emoji87] [emoji87]
 
Huyu hapa Screenshot_2017-05-11-10-51-00.png
 
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.

Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.


inaweza ikawa ni style yak,maana ata wasira alikua na style yake ya uvaaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom