Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

Yule kinyozi anaemnyoa Waziri Mkuu

Weka picha

img_1890-jpg.356833
 
Hahahaahahha! !!!nilijua nipo peke yangu, nadhani ni swala la kimaumbile.
 
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.

Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.

Hii kitu nilianza kuiona toka ameteuliwa kuwa PM nikajua labda ndio aliamua mwenyewe iwe kama utambulisho wake.

Au ni kichwa cha Mh. jinsi kilivyo ndio kinapelekea hivyo.
 
Hata mimi mkuu hadi imebidi niulize
 
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.

Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.

Hahahahah huyo nampa salute !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom