Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Wadada au akinamama huwa wanathamini sana muda kuliko chochote ktk mahusiano@cc Khantwe.
Ukiona mpaka umeulazimisha moyo umegoma ina maana hamna chemistry kati yenu..

Msisitizo wangu ni kwamba unaweza ukajifunza kupenda pale ambapo mwanzo hukufikiria kupenda na ukapenda...ikishindikana sio kosa lako tu..linaweza likawa lake pia...cha msingi ulijaribu...

Ili mapenzi yawepo lazima viwepo vitu vya msingi vitakavyowaunganisha sasa kama umepambana na huoni? ?huwezi kujilaumu nadhani hapa tushaongea lugha moja...My take.....
Mpe nafasi na muda yule unayeona anakupenda ikishindikana jiridhishe kuwa hamkufanana...Ndege wenye mabawa yanayofanana huruka pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanaume wananifurahishaga...wanapenda sana story za oooh Kuna demu nilimtokea akanichomolea but now ukimuona maziwa yamelala, tako limeisha, sijui kazalishwa kaachwa....hivi nyie wanaume hamfuliagi??

Mi kuna boyfriend wangu alinitenda kinoma, miaka mitatu imepita, now kila akiona Witie huyo anakuja full kula kona[emoji1787][emoji1787][emoji23]...kwanza ni kachoka balaa, na huyo demu aliyekuwa ananidolishia kamwibia, kamloga kala kona!... Full kufulia mkaka wa watu na kila akiniona anatoka baruu[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana lkn tunachokielezea hapa ni kuhusu kuzeeka mapema, sawa na inavyosadikika Wanawake wengi huishi umri mrefu sana kuliko Wanaume kiumri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee..mbona nami nimekuwa kiziwi juu yako[emoji848]
Mimi sikatai kabisa, mapenzi ni process hasa kwa sisi wanawake hata mimi ni shahidi mzuri wa hilo lakini sio kila wakati hii kitu inafanya kazi jamani hebu eleweni. Mimi kuna mtu nafahamiana nae huu mwaka wa tano...hana kasoro yoyote, mchapakazi, kujali kama kote ila moyo wangu haujawahi kushtuka kwake na hii nilishawahi kuielezea hata kwenye uzi mmoja hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipi inauma, kufikia kwenye hela ukazila kisha ukatemwa kama big G au kuwa na mtu maskini unamvumilia na msoto wake akishazipata anakutema kama big g
Hapo inategemea kipi kinakuvutia zaidi kwenye mapenzi
 
Ujue mambo ya ya mapenzi ni kama kubet tu maana hata hujui mtu moyoni anawaza nini. Mkeka ukichanika bahati mbaya ukitoka na bingo basi heri
Na Hivi ndivyo inavyotakiwa iwe love. Hujui nani atamalizia maisha nawewe basi kuwa na moyo wa kupenda yule akupendae. Usichague chague watu kama taulo za mtumba! Akupendae kwa dhati ya moyo usimuangushe na kama itafikia mahali hatoona thamani yako basi piga moyo konde. Through that way utampata mtu sahihi!
 
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ili ibalance maana mkipendana mnao pendana wale wasio pendwa watapendwa na nani....kwaio ndomana lazima kuna mmoja ampende mwenzie sana kuliko mwingine na iyo kazi ya kupenda wamepewa wanaume ...wanawake viherehere tu vinawaponza nasisi kujipa jukumu la kupenda sisi kazi yetu ni kutiii....

am better here
 
Anaforce kinoma, na watu nao full kunipa presha kama zote!

Eti ntajuta mbele kupoteza upendo kiwango kile, coz siku hizi wanaume wa hivi hamna tena....[emoji848]

Anyway life goes on....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkipendwa kwa dhati mnajitia vipofu. Mwanaume akikwama kwako aki ya nani hawezi kuficha na kwa uzoefu mara zote ME msiowapendaga ndio huwa ndio waoaji hao. We komaa na kibrazamen chako majibu utayapata 28+ !
 
Mwanaume anaweza akakufuatilia mpaka ukasema malaika huyu, kumbe si lolote si chochote, anasubiribuingie 18 zake ufurahi na nafsi yako. Ukiona akili na moyo vyote vinagoma basi usilazimishe.
Mi sina tabia hio mbona mama!
 
[emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ni Balaa, Mwanamke mlalamishi, mwanamke anapenda starehe tu. Hafikilii hata kesho itakuwa vpi, Tabia ya kwenda kwenye Vi Studio vya picha na kupiga picha kupost mitandaoni hii ndio imenishinda. Mwanamke ana marafiki kibaooo, ila sio mbaya hao marafiki zake ndo mademu zangu

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Hahaha aisee, mzee kweli ulipatikana ila sio mbaya mwanamke awe na marafiki mob ila wasiwe wanaume tu. Ila penye ulalamishi hapo ningepiga chini Express baada ya kukamilisha zoezi muhimu lile. Mwanamke ambae yeye anawaza bata tu, hana mipango ya maana hapana!
 
Yani nilikuwa sipend kinoma, nikaona kwa indicator hiyo siwezi kufika nae popote.
Unajua nn witness, wanawake/ wasichana wa siku hizi wanakosa charactor moja ya "Wife" na hii kitu ni muhimu sana kwa mwanamume ambae anataka kuoa.

Kama mwanamke atashindwa ku demostrate hii character basi ana posibility ndogo sana ya kuolewa.

Ukisikia kila mwanaume anasema natafuta "Wife material" hii kitu ni muhimu sana sema huwa hamjui tuu

Sasa unakuta upo na mwanamke yeye kakaa ki starehe starehe tuu yani hata kuwa mama watoto hawezi

Basi ndio ivo as usual tunaongeza milage akafie kwa mtu mwingine huko

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Hahah ishu ya kuw wife material ni mtambuka sana ila wanawake ni kama vile wanajisahaulisha sijui. If you behave like a woman 100% hutokosa mume wa kukuoa.
Kuna kitu wanaume wengi wanakitaka ili waoe ila wanawake wengi wanafeli hapo.
 
Back
Top Bottom