Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Kweli husemi uongo ila for how many years utakuwa na someone ambaye hakudeserve .
Kuna story moja hii hapa alitokea binti mrembo kupendwa na vijana wawili mwanamke akachagua moyo wake basi akaolewa ila muda kupita akajua aliywmchagua ni player .
So maisha ya kawa ndio vipigo vilio akaona isiwe tabu akaenda kwa ampendae.
Kidogo maisha yakasonga wakaanza maisha yao nawako mpaka sasa ndio wakutolea mfano.
Kuna waigizaji na tru lovers kuna wale wanajidai kukupenda ila ni maplayer ila wewe ni mtu mzima wao sio wakwanza nautajua tu mwongo ni hupi simple jidai unashida ask for it but sio ml. 1 or 2 kumkomoa no.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue mambo ya ya mapenzi ni kama kubet tu maana hata hujui mtu moyoni anawaza nini. Mkeka ukichanika bahati mbaya ukitoka na bingo basi heri
 
Mkuu inaonekana haya matusi ya ma single mom ni kichomi kwako
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda

Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
nawashauri dada zetu umri ni namba ila ikizidi ndo basi tena jitahidini sana kuwa smart wanaume kabla ya kuoa huwa tunaangalia vingi sana tunapicture maisha miaka 10 na wewe yatakuaje tabia zako mfumo wako wa maisha upoje namna una jicontrol kwenye hasira mwisho tunafanya maamuzi sasa ya kuoa wakati huo nyie watoto wa kike mnawaza harusi itakuaje nani ataniona.... ukiona mtu kakuoa wewe mshukuru sana mtaani uku kuna vishawishi kinoma sie fisi ndo tunaona usipokua makini mtu huoi sasa wewe mtu anakufata ana mipango kabambe na wewe ila kwakua huna akili anabadili mawazo anakutomber anakuacha unaongeza list tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo husukuma damu si mengine. Kumchagua mwenza wa maisha na akili nayo inabidi ifanye kazi ya ziada. Upendo hauwez kua 50 50 mzani lazima utazidi upande mmoja. Muhimu mzani usiwe umezidi sana upande mmoja i.e. 90 kwa 10[emoji16].

Sio kila anayekufuatilia sana anakupenda wengine wanataka tu kukuona upoje.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo kuna mwanadada nilikuwa nampenda sana nikasema huyu lazima Nimuweke mtu kati nimuheshimishe nimpe maisha. Baada ya kuwa nae kwenye mahusiano for 2 months nikagundua kuwa hana hadhi ya kuwa mke wa mtu yeyote. Ana vitabia vya kishenzi sana. Nadhani ndio maana hajaolewa hadi leo na umri umesonga she'z abt 28 na uzuri wake wa nje nikawa najiuliza hivi kweli wanaume hawajamuona kweli??? Kwann haolewi

Basi na mm nikamuongezea milage nikamuacha. Ila kwa nje ni mwanamke mzuri sana anaestahili kila kitu. Lakini Ovyo kabisa. Najuta kukutana nae maana ndio mmoja ya watu ambao hawatoki kichwani kwangu.

Shenzy kabisa
nawashauri dada zetu umri ni namba ila ikizidi ndo basi tena jitahidini sana kuwa smart wanaume kabla ya kuoa huwa tunaangalia vingi sana tunapicture maisha miaka 10 na wewe yatakuaje tabia zako mfumo wako wa maisha upoje namna una jicontrol kwenye hasira mwisho tunafanya maamuzi sasa ya kuoa wakati huo nyie watoto wa kike mnawaza harusi itakuaje nani ataniona.... ukiona mtu kakuoa wewe mshukuru sana mtaani uku kuna vishawishi kinoma sie fisi ndo tunaona usipokua makini mtu huoi sasa wewe mtu anakufata ana mipango kabambe na wewe ila kwakua huna akili anabadili mawazo anakutomber anakuacha unaongeza list tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
Mkuu inaonesha una ushuhuda katika hilii
Moyo husukuma damu si mengine. Kumchagua mwenza wa maisha na akili nayo inabidi ifanye kazi ya ziada. Upendo hauwez kua 50 50 mzani lazima utazidi upande mmoja. Muhimu mzani usiwe umezidi sana upande mmoja i.e. 90 kwa 10[emoji16].

Sio kila anayekufuatilia sana anakupenda wengine wanataka tu kukuona upoje.

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
Wadau wazima,
Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au anahela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishoe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka tokea wimbo wa vileti mpaka tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango .
Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nawangu tunamiadi naye yambele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja .
Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unammsema unamuwaza unakuwa unamuota naunajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula nakusepa sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.
Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake.
Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.
Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee.
Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.
Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda .
Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.
Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahah eti tangu wimbo wa vaileti hadi tetema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna upendo wa asili kwa kitu na upendo wa ku adopt
Rafiki yangu mmoja alikuwa ni kiwembe hatari baada ya kuumizwa sana na wanawake
Ilikuwa amepoteza kabisa matumaini ya mapenzi halisi kwa binti yeyote akikuwa ana hit and move

IKtokea binti mmoja akampenda kiasi ambacho hakielezeki, mimi nikatambua na nikamwambia mzee huyu manzi ndiyo hazina yeye akawa anasema ooh hayuko moyoni
Nilimshwashi sana atulie naye hata kwa unafiki, kna mambo mengi ya kuvutia akawaa anatendewa na yule binti baada ya hapo aktambua nafasi ya yule mwanamke na kunishukuru kwa kumpigania
Leo hii ndio mkewe na anampenda kupita maelezo
Waoow!...so nice yaani!

Ila mioyo hii mmmh![emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom