Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Ujumbe mzuri ila hawatakuelewa.
Kuna dada nilimpenda sana akanizingua ile mbaya na matusi juu
Ukweli kipindi hicho sikuwa na P kubwa sana, maisha ya kawaida sana.
Mtoto alikuwa anajifanya matawi ya juu, ila sasa hivi ni single mother hana jipya na ameshachuja
Na mimi P yangu imeshapanda sasa ndo anajikwatua kuja kwangu hata simsogelei, natafuna wabichi wabichi tu.
 
Kama una vigezo vya kijinga, basi viache. Ila kama ni vigezo vya msingi, uwe tu makini unapocompromise. Maisha ni kuchagua
Naraha sana mpendwa sina hata stress hata kidogo niukweli tu naongea napia maisha yanaenda tu unajua maisha sio kuchagua utachagua mpaka wataisha kila unapokataa wanapata wenzako kila ukitaka kurudi nyuma unakuta vyumba vinampangaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax..
If you can be friends itakusaidia kuona kama unaweza kujifunza kumpenda. Ingawa ni changamoto pia kuwa close na mtu ambaye moyo umemgomea. Afu yeye kwa wakati huo anaanza kujipa matumani kuwa umeshaanza kumuelewa teh, kwa hiyo ndo anakazia macare na nini udate
We dada uko smart sana... weekend ijayo fika KIGAMBONI uchukue Bia kreti 3..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanaume wananifurahishaga...wanapenda sana story za oooh Kuna demu nilimtokea akanichomolea but now ukimuona maziwa yamelala, tako limeisha, sijui kazalishwa kaachwa....hivi nyie wanaume hamfuliagi??

Mi kuna boyfriend wangu alinitenda kinoma, miaka mitatu imepita, now kila akiona Witie huyo anakuja full kula kona[emoji1787][emoji1787][emoji23]...kwanza ni kachoka balaa, na huyo demu aliyekuwa ananidolishia kamwibia, kamloga kala kona!... Full kufulia mkaka wa watu na kila akiniona anatoka baruu[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali, ndo maisha yalivyo. Hata mkeo naamini na yeye maziwa yamelala now, tumbo limeshuka na tako limeisha., ila katika yote hayo wote wamepata kuitwa mama; what a blessing

Thamani ya mtu haishushwi na umri au watu wengine; ila na mtu mwenyewe binafsi.

Kiukweli hayupo moyoni kabisa.. huwa sipendi kumuumiza mwanamke.. naongea hivi kwa jinsi nilivyolelewa na mama yangu.. alikuwa single mom kweli kweli.. lakini alinijali na kunipa usia juu ya maisha na namna ya kuwajali wapenzi au wasichana nitakao kuwa nao.. hii ilinifanya niwaheshimu wanawake na kuwapenda kutoka moyoni ikiwa pamoja na kuwajali kwa kila kile nilichokuwa na uwezo nacho.. naam kwa huyo nilijitoa kwelikweli hata kaka zake nilifikia hatua ya kuwaeleza kuwa mi namtaka yule mdogo wao nimstiri (nimuoe) ila dhihaka, kebehi, usista duu ulimjaa vibaya mno.. Yule jamaa na mm hatukuzidiana kipato kwa maana tulikuwa rank sawa.. ila yule jamaa alikuwa kicheche balaa mie nkawa nachukia na nikataka kumuoa yule manzi.. NAAM SASA AMESHTUKA LKN AMECHELEWA.. MAZIWA YAMELALA, TUMBO LIMESHUKA, TAKO LIMEISHA...
DADA ZANGU LAZIMA MJUE KADIRI UMRI UNAVYOSONGA NDIO THAMANI YENU INASHUKA... NDIO MAANA HADI LEO HAKUNA WA KUMUOA WEMA SEPETU... UMRI UMETARADADI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa kwa kujifariji tu na kuhukumu hawajambo. Wengi mioyo imejawa na uchungu. Mtu akikuzingua linakuuma maisha; basi unaomba kweli aharibikiwe. Sijui akiharibikiwa unafaidi nini; hatujui kusamehe na kumove on

Aisee huyo jamaa fanya tu kumvizia umsalimie; kama namuona atakavyoishiwa pozi
Ila wanaume wananifurahishaga...wanapenda sana story za oooh Kuna demu nilimtokea akanichomolea but now ukimuona maziwa yamelala, tako limeisha, sijui kazalishwa kaachwa....hivi nyie wanaume hamfuliagi??

Mi kuna boyfriend wangu alinitenda kinoma, miaka mitatu imepita, now kila akiona Witie huyo anakuja full kula kona[emoji1787][emoji1787][emoji23]...kwanza ni kachoka balaa, na huyo demu aliyekuwa ananidolishia kamwibia, kamloga kala kona!... Full kufulia mkaka wa watu na kila akiniona anatoka baruu[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo husukuma damu si mengine. Kumchagua mwenza wa maisha na akili nayo inabidi ifanye kazi ya ziada. Upendo hauwez kua 50 50 mzani lazima utazidi upande mmoja. Muhimu mzani usiwe umezidi sana upande mmoja i.e. 90 kwa 10[emoji16].

Sio kila anayekufuatilia sana anakupenda wengine wanataka tu kukuona upoje.
"Sio Kila anayekufuatilia sana anakupenda wengine wanataka tu kukuona upoje" quotation nzuri sana .nimekubali
 
Unajazba cool down ni hivi kwa muda utanielewa tu .
Ndotoni utaweza kuchagua ila reality no kwanini asilimia kubwa wanawake wanaenda kusiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio jazba, nakufundisha maisha mdogo angu. Kama unataka kuenjoy ndoa, kuwa makini kuchagua. Ila kama unajali sana kuwa tu ndoani then jiokotee tu yeyote atakayekuja
 
Back
Top Bottom