Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Haipo hivyo wakati wote. Kwenye haya maisha omba tu upate mtu mwenye "utu". Kuna mtu ni maskini and yet hana utu. Afu hujawahi ona mtu mnaanzia chini wote ila mkifanikiwa, vitu anavifanya vya kwake peke yake. Mna gari ila hadi kulipanda ni uwe umezidiwa unakimbizwa hospital. Sio matajiri wote ni wanyanyasaji; tena naonaga ni rahisi kumgundua tajiri mnyanyasaji kuliko maskini ambaye kukosa pesa kunamnyamazisha kidogo
Haha mdogo wangu chukua soda kwa Mangi ujilipie mwenyewe
 
Hehehe kaka ingekuwa waoaji mnatambulika kirahisi; dada zako tusingekuwa tunagendaheka na ulimwengu. Some people are good pretenders, unahisi ndoa hii hapa; kumbe mweeh ni tapeli konki. Na mwingine anaweza akawa genuine, ila msifanikiwe kufunga ndoa; mkashindwana kwa sababu ya mambo fulani fulani

Afu unavyomponda huyo ex; are you sure maumivu ya kukukataa yalishaisha?
Najibu swali lako hilo la mwisho...hayajaisha
 
Ipi inauma, kufikia kwenye hela ukazila kisha ukatemwa kama big G au kuwa na mtu maskini unamvumilia na msoto wake akishazipata anakutema kama big g
Watu wengi wanadhani kuwa lazima uolewe na maskini hata matajiri mnawaacha mnaenda kwa vilaza ndio mimi huwa mnaniacha hoi eti na mwingine anamuacha mtafutaji anaenda kwa lofa anaependa raha wasichana na kila aina ya mashida.
Kisa anagari anampa hela anampa chochote ila unatoa mimba kila saa zake kibao kisa hataki.
Nakuna huyu anakudhamini ukimwambia kitu anakusikiliza nakukutambua uwepo wako .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanadhani kuwa lazima uolewe na maskini hata matajiri mnawaacha mnaenda kwa vilaza ndio mimi huwa mnaniacha hoi eti na mwingine anamuacha mtafutaji anaenda kwa lofa anaependa raha wasichana na kila aina ya mashida.
Kisa anagari anampa hela anampa chochote ila unatoa mimba kila saa zake kibao kisa hataki.
Nakuna huyu anakudhamini ukimwambia kitu anakusikiliza nakukutambua uwepi wako .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa wala
 
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda

Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani niolewe na mtu kisa ananipenda hapana ndiyo yale eti utakuwa unampenda polepole, sasa huko mbele kama si kuzalisha michepuko, kama mnapendana ni raha sana asikwambie mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nilikuwa nafikiria kama wewe ila miaka ya karibuni nimebadili mawazo. Its not always the case, speaking from experience
Niseme ukweli dadangu.. Tamaa za wadada wengi ni level ya juu kweli kweli.. MAPENZI HUJENGWA, ALWAYS TUNA BUILD LOVE, Hakuna mtu anampenda mtu kwa siku moja.. Mapendo lazima yaambatane na sababu sahihi kama kujituma, kujali nk.. mapenzi hayapo eti jamaa handsome, ana hela nk.. ukiona unampenda mtu kisa uzuri wake DADANGU jua wazi hukumpenda na siku akikutana ajali ya boxer ndio nitolee.. MAPENZI NI BUILD UP STATE OF MIND.. Mnaweza mkaanza kwa kutoelewana au mmoja akimnyanyasa mwenzie lkni mwishoni mkafika mkabargain kuwa mwenzangu yuko hivi ma hapendi hivi..
Jengeni wapenzi wenu.. tengeneza mazingira ya kumpenda yule anayekupenda.. HATA YESU ARUDI TENA MAPENZI HAYAWEZI KUBALANCE ETI 50/50 lazima kuna mmoja anamzidi mwenzake na the way mnavyoishi ndio mnakaribisha hiyo balance ingawa haitokuwa balanced..
MM NINA DADA YANGU KISA WEUPE, UREFU WAKE NA MSHEPU kakataa wanaume kibao now kila mwezi anataka pesa zimsaidie maisha huko mkoani kwetu... PUMBAAVU ZAKE nashindwa kumkatia waya kisa dada toke nitoke...

Mimi sikatai kabisa, mapenzi ni process hasa kwa sisi wanawake hata mimi ni shahidi mzuri wa hilo lakini sio kila wakati hii kitu inafanya kazi jamani hebu eleweni. Mimi kuna mtu nafahamiana nae huu mwaka wa tano...hana kasoro yoyote, mchapakazi, kujali kama kote ila moyo wangu haujawahi kushtuka kwake na hii nilishawahi kuielezea hata kwenye uzi mmoja hivi.
 
Ndio asilimia kubwa kwa maana hao kwa pesa zao watapata mtu wa kila aina utakuwa kila saa unalia kisa hana time ya kukudekeza yeye anakupa hela basi nakuishia kuwapa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ni popote, awe maskini au tajiri maadam moyo wako umependa jitose. Hizi assumption za kwamba eti wenye pesa hawana mapenzi ni za wanaume walioshindwa maisha wanatafuta kivuli cha kujificha
 
Mimi sikatai kabisa, mapenzi ni process hasa kwa sisi wanawake hata mimi ni shahidi mzuri wa hilo lakini sio kila wakati hii kitu inafanya kazi jamani hebu eleweni. Mimi kuna mtu nafahamiana nae huu mwaka wa tano...hana kasoro yoyote, mchapakazi, kujali kama kote ila moyo wangu haujawahi kushtuka kwake na hii nilishawahi kuielezea hata kwenye uzi mmoja hivi.
Sasa hapo ndio shida ya wanawake... WANATUMIA MOYO KUFIKIRI BADALA YA UBONGO... Ukilala leo jaribu kutumia ubongo vizuri kwa kuwaza kwa kina... utajipa majibu mwenyewe kuwa moyo sio akili.. ndio maana mnawapenda wezi..
Mapenzi lazima yaambatane na akili kidogo sio kuuachia moyo..

Hata kama ni denti lazima unywe bia nilipe kopa hata dah umesema kweli kwani ukiwa unaomba hela unatumia moyo au akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo ndio shida ya wanawake... WANATUMIA MOYO KUFIKIRI BADALA YA UBONGO... Ukilala leo jaribu kutumia ubongo vizuri kwa kuwaza kwa kina... utajipa majibu mwenyewe kuwa moyo sio akili.. ndio maana mnawapenda wezi..
Mapenzi lazima yaambatane na akili kidogo sio kuuachia moyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unaforce tukubaliane na unachotaka wewe, kuna ndoa bila mapenzi? Hivi ukishasema unajitrain kumpenda mtu si maana yake akili hapo inatumika? Ni kwamba hapo akili inatumika kuushawishi moyo kuwa huyu mtu ni sahihi kwako lakini kuna wakati moyo unagoma kukubaliana na akili
 
Back
Top Bottom