Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo kuna mwanadada nilikuwa nampenda sana nikasema huyu lazima Nimuweke mtu kati nimuheshimishe nimpe maisha. Baada ya kuwa nae kwenye mahusiano for 2 months nikagundua kuwa hana hadhi ya kuwa mke wa mtu yeyote. Ana vitabia vya kishenzi sana. Nadhani ndio maana hajaolewa hadi leo na umri umesonga she'z abt 28 na uzuri wake wa nje nikawa najiuliza hivi kweli wanaume hawajamuona kweli??? Kwann haolewi

Basi na mm nikamuongezea milage nikamuacha. Ila kwa nje ni mwanamke mzuri sana anaestahili kila kitu. Lakini Ovyo kabisa. Najuta kukutana nae maana ndio mmoja ya watu ambao hawatoki kichwani kwangu.

Shenzy kabisa

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Kaka alikufanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hajaruhusu tu huyo kuwa chaguo lako kwa sasa, lkn muda sahihi ni lesson tosha kumkubalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan imebaki namuonea huruma huyu kaka asee!

Mwanzo nilikuwa nakuwa mkali kwake, but nikaja kugundua kuwa nakosea, bora niwe mpole asee, yaan namkataa kistarabu sio kimatusi kama mwanzo!

Thanx God hayumo humu JF maana angenisoma angejisikia vibaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo kuna mwanadada nilikuwa nampenda sana nikasema huyu lazima Nimuweke mtu kati nimuheshimishe nimpe maisha. Baada ya kuwa nae kwenye mahusiano for 2 months nikagundua kuwa hana hadhi ya kuwa mke wa mtu yeyote. Ana vitabia vya kishenzi sana. Nadhani ndio maana hajaolewa hadi leo na umri umesonga she'z abt 28 na uzuri wake wa nje nikawa najiuliza hivi kweli wanaume hawajamuona kweli??? Kwann haolewi

Basi na mm nikamuongezea milage nikamuacha. Ila kwa nje ni mwanamke mzuri sana anaestahili kila kitu. Lakini Ovyo kabisa. Najuta kukutana nae maana ndio mmoja ya watu ambao hawatoki kichwani kwangu.

Shenzy kabisa

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we mshenzi kwa kuponda hujambo!!?

Ana tabia gani huyo manzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanamke nilishawahi kumtongoza akacheka. Eti

Hahaha. Hadi na leo sijamsahau. Imagine unamtongoza mtu upo serious kabisa umejilamba midomo na kusuuza sauti kisha anaishia kucheka eti hahahaha.
 
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana ukagoma![emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpka leo najiuliza kwanini uligomea[emoji53] [emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo husukuma damu si mengine. Kumchagua mwenza wa maisha na akili nayo inabidi ifanye kazi ya ziada. Upendo hauwez kua 50 50 mzani lazima utazidi upande mmoja. Muhimu mzani usiwe umezidi sana upande mmoja i.e. 90 kwa 10[emoji16].

Sio kila anayekufuatilia sana anakupenda wengine wanataka tu kukuona upoje.
Ila kuna wadada mnamajibu mabaya aseeh. Kweli mtu unatongozwa unacheka?
 
Back
Top Bottom