Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Usijali, ndo maisha yalivyo. Hata mkeo naamini na yeye maziwa yamelala now, tumbo limeshuka na tako limeisha., ila katika yote hayo wote wamepata kuitwa mama; what a blessing

Thamani ya mtu haishushwi na umri au watu wengine; ila na mtu mwenyewe binafsi.
Hahahah asee wangu now kama hajazaa... unajua nilichobaini ni kwamba mapenzi bora ni yale yanayoanza kwa kusuasua... Huyu wangu nilimpata kama mbadala wa yule manzi ila si kwa ajili kumuonesha la hasha.. Niliamua kutembea mbele..
Nimeweka vionjo hivyo kwa maana kubwa.. WANAWAKE WENGI WANA DREAM KUBWA LAKINI UHALISIA HAUKO HIVYO... WANATAKA MTU HANDSOME NA AWE NA KAZI ZA MAANA, NYUMBA NA MAZAGA KAMA YOTE.. KUMBE LIFE HALITAKI HIZO MAMBO.. BE HUMBLE MTAFUTE MWANAUME SMART.. ANAKUJALI ANAJALI FAMILIA YAKO.. HAKUPIGI NA ANATIMIZA WAJIBU WAKE KAMA MWANUME ASEE MPENDE SANA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mpaka umeulazimisha moyo umegoma ina maana hamna chemistry kati yenu..

Msisitizo wangu ni kwamba unaweza ukajifunza kupenda pale ambapo mwanzo hukufikiria kupenda na ukapenda...ikishindikana sio kosa lako tu..linaweza likawa lake pia...cha msingi ulijaribu...

Ili mapenzi yawepo lazima viwepo vitu vya msingi vitakavyowaunganisha sasa kama umepambana na huoni? ?huwezi kujilaumu nadhani hapa tushaongea lugha moja...My take.....
Mpe nafasi na muda yule unayeona anakupenda ikishindikana jiridhishe kuwa hamkufanana...Ndege wenye mabawa yanayofanana huruka pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Most of times wanawake huwa tunajifunza kupenda kwa sababu huwa tunatongozwa; unlike nyie ambao mnatufuata. Jamaa anakufuata from nowhere; anaanza kukuimbisha, caring kwa sana, mnaspend some times ; taratibu unajikuta kamoyo kanashtuka umefall.

Sasa mwingine anakufuata pamoja na yote hayo; yani moyo unagoma tu bila sababu. Sifa njema anazo but moyo hautaki kabisa. Exactly what you wrote...
 
Haha wako unamsifia; ex unamkandia eeh

Huko kwingine kwa herufi kubwa umeongea vyema

Hahahah asee wangu now kama hajazaa... unajua nilichobaini ni kwamba mapenzi bora ni yale yanayoanza kwa kusuasua... Huyu wangu nilimpata kama mbadala wa yule manzi ila si kwa ajili kumuonesha la hasha.. Niliamua kutembea mbele..
Nimeweka vionjo hivyo kwa maana kubwa.. WANAWAKE WENGI WANA DREAM KUBWA LAKINI UHALISIA HAUKO HIVYO... WANATAKA MTU HANDSOME NA AWE NA KAZI ZA MAANA, NYUMBA NA MAZAGA KAMA YOTE.. KUMBE LIFE HALITAKI HIZO MAMBO.. BE HUMBLE MTAFUTE MWANAUME SMART.. ANAKUJALI ANAJALI FAMILIA YAKO.. HAKUPIGI NA ANATIMIZA WAJIBU WAKE KAMA MWANUME ASEE MPENDE SANA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wazima,

Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.

Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.

Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.

Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.

Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.

Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.

Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.

Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.

Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikuwa hamjui..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanaume wananifurahishaga...wanapenda sana story za oooh Kuna demu nilimtokea akanichomolea but now ukimuona maziwa yamelala, tako limeisha, sijui kazalishwa kaachwa....hivi nyie wanaume hamfuliagi??

Mi kuna boyfriend wangu alinitenda kinoma, miaka mitatu imepita, now kila akiona Witie huyo anakuja full kula kona[emoji1787][emoji1787][emoji23]...kwanza ni kachoka balaa, na huyo demu aliyekuwa ananidolishia kamwibia, kamloga kala kona!... Full kufulia mkaka wa watu na kila akiniona anatoka baruu[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
mrudie huyo mtafika mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unamaanisha alikukataa kisa alikuwa na mtu mwingine?. Me nafikiri alikuwa sawa tu kukukatalia as alikuwa anayaheshimu mahusiano yake. Tatizo mtu ukiwa huna hela, basi unakuwa insecure; ukitongoza unataka tu ukubaliwe otherwise unahisi umekataliwa kisa huna chapaa. Huwezi kukubaliwa na kila mtu jamani

Mdada alikuwa faithful; unfortunately moyo wa mtu ni kiza kinene; hakujua mwenzie anamuwazia nini. Inawezekana angemzingua huyo jamaa afu akakukubalia wewe; na still usimuoe ukaishia kumfanya single mom au mkaachana tu

Afu what exactly do you guys want? Tukisema tukomae kuwa loyal na nyie; tukatae wa pembeni; tukiachika baadaye mnatusonya. Utajisikiaje uwe na baby afu akuache tu akaolewe na mwingine? Eeeh utakavyo laani sasa na kumuombea mabaya. The girl did the right thing at that time and possibly kwa muda huo mahusiano yalikuwa ana afya kabisa.Ni vile tu hatujuagi kesho zetu zitakuwaje na pia waoaji hawana alama; otherwise tusingepotezaga muda kwa watu wasio na future na sisi
That's my girl hebu waambie. Tatizo wanaume wasio na hela wanakuwa insecure kama ulivyosema yaani huwa wanaona wenzao wenye pesa hawana haki ya kupendwa au sijui namma gani, yaani ni marufuku kuwakataa, ukiwakataa tu we mpenda pesa loh yaani wanajikutaga wao tu ndio wana mapenzi ya kweli na wako loyal haha
 
Hahaha sasa ubaya huko kivulini unapotaka kuanza kulia bila kujua mtu kahuslte vipi lazma kuambatane na manyanyaso! Mbaya zaidi ni kutafunwa na kutemwa kama Big G
Ipi inauma, kufikia kwenye hela ukazila kisha ukatemwa kama big G au kuwa na mtu maskini unamvumilia na msoto wake akishazipata anakutema kama big g
 
Back
Top Bottom