Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Hii mada naona imepotoshwa. Kinachoongelewa hapa ni dada zetu ambao wanakataa si mwanaume mmoja ila kila mwanaume anayekuja - sana sana si kwa mwonekano wao ila kwa vile hawana pesa, hawatoki katika familia zenye majina makubwa nk. Wanachagua wee mpaka wanakosa ama wanapata koroma. Baadae wanajuta. Nilikuwa nao wengi wa aina hiyo chuoni. Wale walioolewa na wasiokuwa na majina ama mali, wametafuta mali kwa pamoja na sasa siyo masikini tena.

Ila suala la kuolewa kisa mtu kanipenda hapanaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada naona imepotoshwa. Kinachoongelewa hapa ni dada zetu ambao wanakataa si mwanaume mmoja ila kila mwanaume anayekuja - sana sana si kwa mwonekano wao ila kwa vile hawana pesa, hawatoki katika familia zenye majina makubwa nk. Wanachagua wee mpaka wanapata wanakosa ama koroma. Baadae wanajuta. Nilikuwa nao wengi wa aina hiyo chuoni. Wale walioolewa na wasiokuwa na majina ama mali, wametafuta mali kwa pamoja na sasa siyo masikini tena.
Anhaaaaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
husband material ila inawezekana hayo material ukawa ni polyester au nylon na sio cotton wanawake wakaingia mkenge daah😂😂😂 just joking bro.


Hiyo sio joke bro ni ukweli 100%, naplan kuwa husband material ile ya Galvanized steel baada ya miaka 10😂😂😂😂
 
Haha bora ww uko honest, kuna mdada mmoja nlimtongoza, ndani ya wiki moja aliniambia kuwa nimuoe..na alikuwa ananiomba pesa balaa, yaani I could sense kabisa kwamba huyu mdada hanipendi kutoka moyoni, anaigiza ili apate hela.. nlimwambia akatafte mwanaume anaempenda kapeace
Maisha mafupi sana haya kuyaishi kimaigizo....ni wachache wanaoweza maigizo hayo (bibi zetu)

Huyo msingefika popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna upendo wa asili kwa kitu na upendo wa ku adopt
Rafiki yangu mmoja alikuwa ni kiwembe hatari baada ya kuumizwa sana na wanawake
Ilikuwa amepoteza kabisa matumaini ya mapenzi halisi kwa binti yeyote akikuwa ana hit and move

IKtokea binti mmoja akampenda kiasi ambacho hakielezeki, mimi nikatambua na nikamwambia mzee huyu manzi ndiyo hazina yeye akawa anasema ooh hayuko moyoni
Nilimshwashi sana atulie naye hata kwa unafiki, kna mambo mengi ya kuvutia akawaa anatendewa na yule binti baada ya hapo aktambua nafasi ya yule mwanamke na kunishukuru kwa kumpigania
Leo hii ndio mkewe na anampenda kupita maelezo
Kupenda kupo Kwa aina mbili kumpenda MTU automatically au kumpenda through learning
 
Mimi kwa ushuhuda wangu..
Niliwahi kumpemda dada mmoja yuko smart na ni mzuri wa sura na shape.. ndani ya macho yangu lkn..
Demu alinikataa kisa kuna kamanda mmoja hivi.. nikasotea sana papuchi yake.. nikalilia sana nafasi kwake dah kwa wakati huo nilikuwa nimemaliza chuo lkn nko na biashara zangu..
Now nko kwenye ajira, gari nzuri kwa level yangu, nyumba na hata pesa ya dagaa hainishindi.. Yule manzi now yupo yupo tu kazalishwa na yule fala na kaachwa..
Now ananipigia simu kuomba msaada hata wa mtoto nimemsaidia kupata TOTO AFYA KADI...
NDIO AJIONE UJINGA WAKE FALA YULEEE..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajipa moyo eeh!! Wht if wewe ndio ungemchezea tu ukamuach!!
Hapana nisingekachezea nilimaanisha.

Hivi unakumbuka hata wewe ulishawahi kunikataa?
 
[emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we mshenzi kwa kuponda hujambo!!?

Ana tabia gani huyo manzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Balaa, Mwanamke mlalamishi, mwanamke anapenda starehe tu. Hafikilii hata kesho itakuwa vpi, Tabia ya kwenda kwenye Vi Studio vya picha na kupiga picha kupost mitandaoni hii ndio imenishinda. Mwanamke ana marafiki kibaooo, ila sio mbaya hao marafiki zake ndo mademu zangu

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
Back
Top Bottom