Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,141
- 124,727
[emoji16][emoji16] kwa sababu ninyi ni mijitu
Duh tuombe radhi we mrembo[emoji16][emoji16] kwa sababu ninyi ni mijitu
Ni kweli kabisa, shida ni kumjua huyo anayekupenda kwa dhati ni yupi maana kwa kuigiza tu hamjambo. Kwa kuwa ni ngumu kumjua ni bora ukachagua yule ambae at least moyo wako na wewe unampendaNa Hivi ndivyo inavyotakiwa iwe love. Hujui nani atamalizia maisha nawewe basi kuwa na moyo wa kupenda yule akupendae. Usichague chague watu kama taulo za mtumba! Akupendae kwa dhati ya moyo usimuangushe na kama itafikia mahali hatoona thamani yako basi piga moyo konde. Through that way utampata mtu sahihi!
I tried three years consecutively but I failed.hivi haiwezekani kujifunza kumpenda mtu?
Samahani
Ila akipiga pesa tena huwezi mfikia hata theluthi. Mwanaume thamani yake haishukagi. Sana sana upepo wake hupungua kidogo akiwa hana hela ila chance ya kurudi kwenye peak iko wazi full time.Ila wanaume wananifurahishaga...wanapenda sana story za oooh Kuna demu nilimtokea akanichomolea but now ukimuona maziwa yamelala, tako limeisha, sijui kazalishwa kaachwa....hivi nyie wanaume hamfuliagi??
Mi kuna boyfriend wangu alinitenda kinoma, miaka mitatu imepita, now kila akiona Witie huyo anakuja full kula kona[emoji1787][emoji1787][emoji23]...kwanza ni kachoka balaa, na huyo demu aliyekuwa ananidolishia kamwibia, kamloga kala kona!... Full kufulia mkaka wa watu na kila akiniona anatoka baruu[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli faza. Lakini haina noma tutafika tuuHahah ishu ya kuw wife material ni mtambuka sana ila wanawake ni kama vile wanajisahaulisha sijui. If you behave like a woman 100% hutokosa mume wa kukuoa.
Kuna kitu wanaume wengi wanakitaka ili waoe ila wanawake wengi wanafeli hapo.
Na mm sijui huwa nafail wapi, naana ndo huwa nawapata wa designe hyoHahaha aisee, mzee kweli ulipatikana ila sio mbaya mwanamke awe na marafiki mob ila wasiwe wanaume tu. Ila penye ulalamishi hapo ningepiga chini Express baada ya kukamilisha zoezi muhimu lile. Mwanamke ambae yeye anawaza bata tu, hana mipango ya maana hapana!
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah upo sahihi 100% walau fanya hivyo ila sio kila mtu anaekufata unamletea pozi.Ni kweli kabisa, shida ni kumjua huyo anayekupenda kwa dhati ni yupi maana kwa kuigiza tu hamjambo. Kwa kuwa ni ngumu kumjua ni bora ukachagua yule ambae at least moyo wako na wewe unampenda
Ukiona hivyo ujue wewe ndio wa aina hio. Tafta wanawake waliotulia sio mashankupe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na mm sijui huwa nafail wapi, naana ndo huwa nawapata wa designe hyo
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Yeah upo sahihi 100% walau fanya hivyo ila sio kila mtu anaekufata unamletea pozi.
Kuna mdada mmoja nae alikuwa hivyo, kipindi amewiva akatokea kijana alimpenda sana, ila cha ajabu akawa yuko nae on/off jamaa alikuwa anaenda mpaka kwao. Anampenda kinoma demu akawa anzingua zingua mara amkazie na kumpelekesha wee. Chalii HB haswa toka familia bora. Mwisho wa siku akaamua kupiga chini japo alifikia stage anataka kumuoa seriously.
Leo hii huyo manzi kazalishwa na kiben 10 style za akina Mo Jay. Hana mbele wala nyuma. Alikuwa na kazi ile kazi akaipoteza kwa uzembe starehe zilimzidi pombe kwa sana. Kajamaa chake hakana ishu nako kalikuwa kanasafiria nyota ya demu kwa kila kitu shopping kila mwisho wa mwezi, maana demu ndio alikuwa mjanja ana kila kitu mpaka gari la kutembelea.
Walifurumushwa kwenye nyumba kodi hawana wakaamia geto napo wametimuliwa hawana kodi, njaa imezidi mtoto ana kwashiokor haeleweki yani hata simu ya kutumia hana huyo dada anafanya kuweka line Kutoka Level za akina Wema mpaka mlo wa shida, saivi imebidi wakapate hifadhi kwa mama wa huyo kijana ben 10. Kwa jinsi huyo mdada alivyokuwa bomba na jinsi nilivyokuwa namuona mjanja yaliotokea ni ya kustaajabisha.
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa!....kwani yuko mbali na mi napoishi basi?[emoji16]....tumetenganishwa na main road tu!Hahaa kwa kujifariji tu na kuhukumu hawajambo. Wengi mioyo imejawa na uchungu. Mtu akikuzingua linakuuma maisha; basi unaomba kweli aharibikiwe. Sijui akiharibikiwa unafaidi nini; hatujui kusamehe na kumove on
Aisee huyo jamaa fanya tu kumvizia umsalimie; kama namuona atakavyoishiwa pozi