Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Mtaandika mambo mengi lakini ukweli ni kuwa kama unataka kuolewa funga zipu hiyo K ili atakayekuowa akukute uko sealed.
We jifikirie unaanza kugegedwa ukiwa labda 15-17 jamaa anamiaka tuseme 20-22, amalize Chuo kikuu anakuwa labda na 23-25, aanze kutafuta maisha miaka karibia 6 we unadhani atakuoa hiyo mtaishia kupeana migegedo tu.
Wadau wazima,

Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.

Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.

Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.

Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.

Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.

Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.

Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.

Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.

Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaan imebaki namuonea huruma huyu kaka asee!

Mwanzo nilikuwa nakuwa mkali kwake, but nikaja kugundua kuwa nakosea, bora niwe mpole asee, yaan namkataa kistarabu sio kimatusi kama mwanzo!

Thanx God hayumo humu JF maana angenisoma angejisikia vibaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Almost, nimeisha kufaham wee Dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea

Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk

Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha

Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio

Hizo ni hasara nazoziona....

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuelewa bi Dada, stand to your believe hakuna mtiani mgumu kama kuishi au kulala kitanda kimoja na mtu ambaye humpendi, utapoteza maana nzima ya maisha, utajishusha na kujidharau sana be single mother, be single father be single whatever but usijiingize kwenye hiyo trap utajuta. I know it well
 
Asante kwa msisitizo

Mmenikaba sana lol!!

Ila siamini katika kujifunza kumpenda mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
One day utaelewa. Mwanamke kumpenda mtu ni suala la muda. Kama kuna mtu anakupenda, kakufungulia moyo wake, mpe nafasi na jifundishe kumpenda. Lazima ana vitu vitakavyokufanya useme, no I was wrong kumchukia. Akikupenda lazima atakufanyia vitu vitakavyokufanya umpende.

Huwezi kumpenda mtu kwa kumuangalia tu. Lazima labda unapenda Mali au sura au cheo au umaarufu wake ambavyo huwa vinaisha with time.

Mimi nawashauri wanawake wote, mpe nafasi mwanaume yeyote anaekupenda. Mpe chance, kuwa nae, with time utagundua kuwa ulifanya maamuzi sahihi.

Otherwise utakuwa unajiandalia majuto mazito ukubwan.

Ka peace think about it again. Badilisha msimamo wako, kwa faida yako na wanaokuzunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini sio wote pia wanaokamia huwa wako real, mwanaume akipania kitu si unawajua. So waweza kuta hata hakuwa na hizo sifa. Sauti ya ndani yako ni ya kuiheshimu sana kuliko kelele za watu.
We ndo umeongea!...wao wanajudge ufatiliaji wake, careness, na ule utayari wa kuwa na Mimi...while mi huko sipo asee!

Moyo unamgomea kinoma mpaka najishangaa![emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo umeongea!...wao wanajudge ufatiliaji wake, careness, na ule utayari wa kuwa na Mimi...while mi huko sipo asee!

Moyo unamgomea kinoma mpaka najishangaa![emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anaweza akakufuatilia mpaka ukasema malaika huyu, kumbe si lolote si chochote, anasubiribuingie 18 zake ufurahi na nafsi yako. Ukiona akili na moyo vyote vinagoma basi usilazimishe.
 
Tatizo wanawake wengi mnachukulia mahusiano ya kimapenzi serious saana.

Kabla hujawa na mtu ushafikiria shoga zangu watanichukuliaje, mtaani watanichukuliaje, mambo kibao....

Kudate kimsihara ndiko kuzuri hadi mnaingia deep sasa.
Hiyo kimasikhara pia inategemea unadate na nani.
 
One day utaelewa. Mwanamke kumpenda mtu ni suala la muda. Kama kuna mtu anakupenda, kakufungulia moyo wake, mpe nafasi na jifundishe kumpenda. Lazima ana vitu vitakavyokufanya useme, no I was wrong kumchukia. Akikupenda lazima atakufanyia vitu vitakavyokufanya umpende.

Huwezi kumpenda mtu kwa kumuangalia tu. Lazima labda unapenda Mali au sura au cheo au umaarufu wake ambavyo huwa vinaisha with time.

Mimi nawashauri wanawake wote, mpe nafasi mwanaume yeyote anaekupenda. Mpe chance, kuwa nae, with time utagundua kuwa ulifanya maamuzi sahihi.

Otherwise utakuwa unajiandalia majuto mazito ukubwan.

Ka peace think about it again. Badilisha msimamo wako, kwa faida yako na wanaokuzunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unanizungumzia mimi binafsi hilo la kujifunza kumpenda mtu nilifeli ndo maana nimesisitiza hivyo

Wanaosoma wataona wapi panawafaa kwa mustakabali wa maisha yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One day utaelewa. Mwanamke kumpenda mtu ni suala la muda. Kama kuna mtu anakupenda, kakufungulia moyo wake, mpe nafasi na jifundishe kumpenda. Lazima ana vitu vitakavyokufanya useme, no I was wrong kumchukia. Akikupenda lazima atakufanyia vitu vitakavyokufanya umpende.

Huwezi kumpenda mtu kwa kumuangalia tu. Lazima labda unapenda Mali au sura au cheo au umaarufu wake ambavyo huwa vinaisha with time.

Mimi nawashauri wanawake wote, mpe nafasi mwanaume yeyote anaekupenda. Mpe chance, kuwa nae, with time utagundua kuwa ulifanya maamuzi sahihi.

Otherwise utakuwa unajiandalia majuto mazito ukubwan.

Ka peace think about it again. Badilisha msimamo wako, kwa faida yako na wanaokuzunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine mimi na wewe ni watu wazima sana kwa haya mambo

Watoto hawaelewi

Nyani mzee kakwepa mishale mingi
 
Back
Top Bottom