Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Mmh kivip??[emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanzie hapa...Inatokeaje mpaka ukahisi umempenda mtu??is it voluntary or Involuntary???

Kwa mtazamo wangu bado naamini kupenda ni kuchagua...Huwezi kupenda kama hutaki kupenda..Hivyo basi unaweza ukaruhusu akili yako kuona upande mzuri wa yule ambaye anayekupenda mwisho ukaishia kumpenda...

Ukimuona mtu Kwa siku ya Kwanza labda akawa mtanashati au mcheshi huwezi tu kuanza kumpenda bali utavutiwa kuwa karibu naye..ila baada ya kukaa nae utampenda na hii hutokea kama ushamzoea pia...
Je kwanini tusiamini kwenye kuyatengeneza mapenzi na yakastawi zaidi? ?Hata urafiki mpaka ufikie udugu ni lazima uruhusu moyo na akili kumpa nafasi yule unayetaka kutengeneza nae urafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoint kabisa ila kunaswali napenda kukuliza kama dady na mamy wameweza wewe kwani usiweze maisha yanaisha eti next year is 2020 dah ! Mimi kwa sasa sintoringa tena nikapate familia yangu hata mwakani niitwe mama fulani.
Najitahidi niache utoto na ujuaji maana haujanisaidia mpaka leo naacha sasa kusikiliza chochote.
Moyo wala kichwa.
Ilimradi sifa zipo naolewa.
Ipo siku nitarejesha mrejesho nimeolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Punguza hiyo desperation kwanza, hata mwakani ikiwa 2030; so what?

Unajua mtu akichagua tunahisi yupo too picky; lakini lazima tu kuna choices utazifanya. Hawezi tu akaja mtu from nowhere akakwambia tu anataka kukuoa afu na wewe ukakimbilia ndoa bila kuangalia huyu mtu anafit vigezo vyako (cha muhimu). Ndoa sio majaribio bana, lazima mtu uwe makini kuchagua, maana ukikosea tu ndo utalia for the rest of your life. Kila la kheri, uolewe na ukaenjoy ndoa yako; sio ukadumu tu katika ndoa.
 
Naraha sana mpendwa sina hata stress hata kidogo niukweli tu naongea napia maisha yanaenda tu unajua maisha sio kuchagua utachagua mpaka wataisha kila unapokataa wanapata wenzako kila ukitaka kurudi nyuma unakuta vyumba vinampangaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza hiyo desperation kwanza, hata mwakani ikiwa 2030; so what?

Unajua mtu akichagua tunahisi yupo too picky; lakini lazima tu kuna choices utazifanya. Hawezi tu akaja mtu from nowhere akakwambia tu anataka kukuoa afu na wewe ukakimbilia ndoa bila kuangalia huyu mtu anafit vigezo vyako (cha muhimu). Ndoa sio majaribio bana, lazima mtu uwe makini kuchagua, maana ukikosea tu ndo utalia for the rest of your life. Kila la kheri, uolewe na ukaenjoy ndoa yako; sio ukadumu tu katika ndoa.
Hakika [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trust me kuna muda mapenzi yanagoma kabisa kujengeka. Angalau ndoa za wazee wetu ambazo unajikuta tu ndoani na huna option so unapambana na hali yako. Siku hizi tuna uhuru wa kuchagua tumtakaye; moyo ukigoma unauacha tu
Ukiona mpaka umeulazimisha moyo umegoma ina maana hamna chemistry kati yenu..

Msisitizo wangu ni kwamba unaweza ukajifunza kupenda pale ambapo mwanzo hukufikiria kupenda na ukapenda...ikishindikana sio kosa lako tu..linaweza likawa lake pia...cha msingi ulijaribu...

Ili mapenzi yawepo lazima viwepo vitu vya msingi vitakavyowaunganisha sasa kama umepambana na huoni? ?huwezi kujilaumu nadhani hapa tushaongea lugha moja...My take.....
Mpe nafasi na muda yule unayeona anakupenda ikishindikana jiridhishe kuwa hamkufanana...Ndege wenye mabawa yanayofanana huruka pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mi namzimikia Davido kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Isee mr kanchibay sipendwi na mtu,,, wegine naona mnadai mnamoenda davido, mara wiz kid,, sasa mim mbona nnao wapenda hawanipendi jamaniii au ndo circle yenyewe hiii, ikiwa unaye mpenda naye hakupendi bali anampenda mtu mwingine

Kitaalamu katika mkutadha wa socialization nikwamba A anakubali B ila huyu B anamkubari C na huyu C huyu anamkubari D na chaajabu hakuna anaye toa response kuonesha kua anamkubali pia mwenzie au pia haonyeshi kumkataa[emoji1][emoji1][emoji1] nahisi watu hawa huenda wanasikilizia mioyo yao kipi iamue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe kaka ingekuwa waoaji mnatambulika kirahisi; dada zako tusingekuwa tunagendaheka na ulimwengu. Some people are good pretenders, unahisi ndoa hii hapa; kumbe mweeh ni tapeli konki. Na mwingine anaweza akawa genuine, ila msifanikiwe kufunga ndoa; mkashindwana kwa sababu ya mambo fulani fulani

Afu unavyomponda huyo ex; are you sure maumivu ya kukukataa yalishaisha?
Kiukweli hayupo moyoni kabisa.. huwa sipendi kumuumiza mwanamke.. naongea hivi kwa jinsi nilivyolelewa na mama yangu.. alikuwa single mom kweli kweli.. lakini alinijali na kunipa usia juu ya maisha na namna ya kuwajali wapenzi au wasichana nitakao kuwa nao.. hii ilinifanya niwaheshimu wanawake na kuwapenda kutoka moyoni ikiwa pamoja na kuwajali kwa kila kile nilichokuwa na uwezo nacho.. naam kwa huyo nilijitoa kwelikweli hata kaka zake nilifikia hatua ya kuwaeleza kuwa mi namtaka yule mdogo wao nimstiri (nimuoe) ila dhihaka, kebehi, usista duu ulimjaa vibaya mno.. Yule jamaa na mm hatukuzidiana kipato kwa maana tulikuwa rank sawa.. ila yule jamaa alikuwa kicheche balaa mie nkawa nachukia na nikataka kumuoa yule manzi.. NAAM SASA AMESHTUKA LKN AMECHELEWA.. MAZIWA YAMELALA, TUMBO LIMESHUKA, TAKO LIMEISHA...
DADA ZANGU LAZIMA MJUE KADIRI UMRI UNAVYOSONGA NDIO THAMANI YENU INASHUKA... NDIO MAANA HADI LEO HAKUNA WA KUMUOA WEMA SEPETU... UMRI UMETARADADI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom