witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,769
Unachokiongea hapa ni ukweli mtupu....wanaume wazuri bado wapo, na wenye mapenzi ya kweliHahahah asee wangu now kama hajazaa... unajua nilichobaini ni kwamba mapenzi bora ni yale yanayoanza kwa kusuasua... Huyu wangu nilimpata kama mbadala wa yule manzi ila si kwa ajili kumuonesha la hasha.. Niliamua kutembea mbele..
Nimeweka vionjo hivyo kwa maana kubwa.. WANAWAKE WENGI WANA DREAM KUBWA LAKINI UHALISIA HAUKO HIVYO... WANATAKA MTU HANDSOME NA AWE NA KAZI ZA MAANA, NYUMBA NA MAZAGA KAMA YOTE.. KUMBE LIFE HALITAKI HIZO MAMBO.. BE HUMBLE MTAFUTE MWANAUME SMART.. ANAKUJALI ANAJALI FAMILIA YAKO.. HAKUPIGI NA ANATIMIZA WAJIBU WAKE KAMA MWANUME ASEE MPENDE SANA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app