Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Tatizo unaforce tukubaliane na unachotaka wewe, kuna ndoa bila mapenzi? Hivi ukishasema unajitrain kumpenda mtu si maana yake akili hapo inatumika? Ni kwamba hapo akili inatumika kuushawishi moyo kuwa huyu mtu ni sahihi kwako lakini kuna wakati moyo unagoma kukubaliana na akili
Sasa kitu pekee kinakutambulisha ww ni mzima ni UBONGO SIO MOYO.. NDIO MAANA HATA MTU AKIFA TUNAPIMA UBONGO SIO MOYO KWA MAANA MOYO UNAWEZA STCK..
NASISITIZA KWENYE MAPENZI RUHUSU AKILI ZAIDI YA MOYO.. MOYO UNAWEZA PENDA VITU VYA AJABU ILA AKILI HAIWEZI FANYA UPUUZI HUO..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ni popote, awe maskini au tajiri maadam moyo wako umependa jitose. Hizi assumption za kwamba eti wenye pesa hawana mapenzi ni za wanaume walioshindwa maisha wanatafuta kivuli cha kujificha
Mapenzi si chama eti utahamia chama kingine, kama mtu unataka kuwa mke eti nitampenda taratibu haipo kwangu kama simpendi simpendi hata iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kitu pekee kinakutambulisha ww ni mzima ni UBONGO SIO MOYO.. NDIO MAANA HATA MTU AKIFA TUNAPIMA UBONGO SIO MOYO KWA MAANA MOYO UNAWEZA STCK..
NASISITIZA KWENYE MAPENZI RUHUSU AKILI ZAIDI YA MOYO.. MOYO UNAWEZA PENDA VITU VYA AJABU ILA AKILI HAIWEZI FANYA UPUUZI HUO..

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hakuna kitu kama hicho bwana. Umesema unatafuta mke wa pili hebu nioe mimi basi utajifunza kunipenda hukohuko ndani
 
Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea

Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk

Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha

Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio

Hizo ni hasara nazoziona....

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee utakuwa unaendeshwa na moyo
Na wala sio akili.
Mtu anatumia akil ipasavo kuushape moyo ni kazi inayowezekana.
TAFTENI MAARIFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]


Sent using Jamii Forums mobile app
Daah maskini Moyoo..unasingiziwa vitu vingi sana...jamani uacheni Moyo usukume damu...
 
Hehehe kaka ingekuwa waoaji mnatambulika kirahisi; dada zako tusingekuwa tunagendaheka na ulimwengu. Some people are good pretenders, unahisi ndoa hii hapa; kumbe mweeh ni tapeli konki. Na mwingine anaweza akawa genuine, ila msifanikiwe kufunga ndoa; mkashindwana kwa sababu ya mambo fulani fulani

Afu unavyomponda huyo ex; are you sure maumivu ya kukukataa yalishaisha?
Hahaaa... Eti "tunagendaheka na ulimwengu"[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoint kabisa ila kunaswali napenda kukuliza kama dady na mamy wameweza wewe kwani usiweze maisha yanaisha eti next year is 2020 dah ! Mimi kwa sasa sintoringa tena nikapate familia yangu hata mwakani niitwe mama fulani.
Najitahidi niache utoto na ujuaji maana haujanisaidia mpaka leo naacha sasa kusikiliza chochote.
Moyo wala kichwa.
Ilimradi sifa zipo naolewa.
Ipo siku nitarejesha mrejesho nimeolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa tayari kunipa hela yako bila kuumia rohoni ni-pm haraka kabla akina Witnessj hawajakunyang'anya nafasi[emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom