johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,148
- Thread starter
- #21
Mkuu tutapata majibu hapahapa!Huyu Giriki nasikia alikuwa anatabia ya kuwaingiza wenzake chaka hasa wanaposhuka mlima Kitonga,yani akishuka anamzuga wa nyuma yake kwa taa ili aone mlima mdogo mwisho wa siku wanyuma yake anashindwa kukontro gari anapata ajali'hii ni kweli au uzushi tu?