Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,557
- 272,301
- Thread starter
- #121
Mungu si AthumanUle ugonjwa wa macho ni la kawaida au wapemba wamemtengeneza?,kwa kweli aliwasumbua/kuwatesa mno...chini ya utawala wake.
Mungu si AthumanUle ugonjwa wa macho ni la kawaida au wapemba wamemtengeneza?,kwa kweli aliwasumbua/kuwatesa mno...chini ya utawala wake.
Na machozi ya mama Kabendera pamoja na Mama Mbilinyi yamfikie Mwenyezi MunguMungu si Athuman
Kuna kila daliliNa machozi ya mama Kabendera pamoja na Mama Mbilinyi yamfikie Mwenyezi Mungu
Sasa kama pombe na sigara hatumiii, lazima aoe tuuuu hakuna shidaKaoa tena ?
Mungu angetimiza mapema hili kabla awamu hii haijaisha anagalau histori ibadilike, sio lazima wamalize 10.Kuna kila dalili
Tunaomba picha ya mama salmaMzee Salmin Amour Juma yupo nyumbani kwake Migombani nje kodogo ya Mji wa Zanzizar ametulia anakula mafao.
Pamoja na ukomandoo wake wote alishindwa kuibadili katiba ili atawale kwa awamu ya tatu.
Pia mwaka 1999 alikiri kwa alekuwa katibu mkuu wa jumuiya ya Madola chifu Emeka Anyaoku kwamba hali ya Zanzibar haikuwa nzuri kutokana na ushindi mkubwa wa Pemba kutiwa kapuni.
Mama Salma nae, binti wa "Ilala qarters" na Arusha Town naona kimya.
Halafu kuna mama anaitwa Fatma pale Copenhagen au Stockholm naona atakuwa nae anatupatupa vijisenti kidogo vya "up keep".
Kheri ya Pasaka.
Tujikumbushe hotuba zake ili tupate kumfahamu na labda wengine wanaweze kutupatia habari za Komando baada ya kustaafu yupo wapi na kama Mzee kwa sasa anatoa nasaha gani kwetu sisi kizazi hiki na historia ya utawala wake tunajifunza yepi mema tuyachukue na yakuacha tuache yapi, ndo umuhimu wa somo la historia kutuhifadhia mafunzo na kumbukumbu.



Malipo ni hapa hapa dunianiWakuu heri ya sikukuu ya pasaka , na poleni sana kwa mauaji ya askari wetu yaliyotokea huko Rufiji ( Namuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema peponi , Amina )
Baada ya salamu hizi naomba kufahamishwa alipo nguli wa siasa za Zanzibar , Mh Salmin Amour Juma , nimejitahidi sana kuchungulia kwenye vikao vya ccm vilivyofanyika hivi karibuni Dodoma na kwingineko sijamuona .
Komandoo yuko hapahapa au kaenda nje ya nchi ?
Mkewe si tu kwamba alikimbia bali huko alikokimbilia kaolewa na mwingineNiliwahi kua rafiki na mtoto wake, jamaa haoni na mkewe alimkimbia
Maisha haya tuishi kwa wema binaadam hamna kitu.
Yupo wapi?Ni swali au kuna kaujumbe unamtumia yule jamaa asiyepangiwa cha kufanya?
PhD materialInasadikiwa elimu ys Dkt.Salmini ninkidato cha 4 tu.Je alipandaje pandaje mpaka kuingia IKuRU?
unachanganya kati ya Dr Salim na Dr SalmeenInasadikiwa elimu ys Dkt.Salmini ninkidato cha 4 tu.Je alipandaje pandaje mpaka kuingia IKuRU?
Dr Salim alishawahi kuwa Waziri Mkuu?unachanganya kati ya Dr Salim na Dr Salmeen
Dr Salmeen Amour ana PhD ya Ujerumani akiipata akiwa na miaka 30
amehudumu Wizara kubwa kubwa tangu enzi za Baba wa Taifa
miaka ya mwisho ya Utawala wa Baba wa Taifa alikiwa ndie Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi
alikuwa PM baada ya kifo cha SokoineDr Salim alishawahi kuwa Waziri Mkuu?
Kwa mujibu wa sheria pensheni, Ofisi, magari, Ulinzi kama wote sio?alikuwa PM baada ya kifo cha Sokoine
Kwa sababu ya roho yake mbayaKwanini aliitwa Komando