Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Mke wa kichagga aliyekuwa naye enzi za utawala wake alimkimbia na kuolewa na balozi wa Libya aliyekuwa hapa nchini. Atakuwa alimwongezea masaibu ya upweke na hata kuoa na kuoa na kuoa tena.
Komando shabab alishaoa mara tano baada ya kumuacha yule
Just Gooogle...komando aoa
Infact hata kabla ya urais komondo..alishaoa sana ...na mara kadhaaa alikaaa bila mke,sijui kwanini
 
Komando shabab alishaoa mara tano baada ya kumuacha yule
Just Gooogle...komando aoa
Infact hata kabla ya urais komondo..alishaoa sana ...na mara kadhaaa alikaaa bila mke,sijui kwanini

Pia hayati Mwalimu alimwambia komandoo wakti ule kwamba alikuwa anamuona angeiweza kazi ya Zanzibar ila akampa masharti aoe.

Hapo ndipo akapatikana Salma.
 
Komando shabab alishaoa mara tano baada ya kumuacha yule
Just Gooogle...komando aoa
Infact hata kabla ya urais komondo..alishaoa sana ...na mara kadhaaa alikaaa bila mke,sijui kwanini
Kuna wakati nilisikia kuwa naye ni mmoja wa Viongozi waliolazimisha kuoa Mwarabu wakati wa Karume
 
Laana ya Wapemba inamtafuna. Amepoteza nuru ya macho. Nakumbuka jinsi utawala wake ulivyokuwa wa kibabiloni huku Waziri Kiongozi akiwa Gharib Billali ambaye naye alikuwa mtemi wa aina yake.
Dah....Low Hasa atagombea urais 2095....Kwa sababu anapendwa sana
 
Haya maisha we acha tu jamaa aliingia mikononi kwa manzi wa kaskazini, wakaja achana Mzee wa Libya alimzidi kete. Mzee naye bahati mbaya akatolewa madarakani na kupotezwa kabisa kule Libya manzi akakosa tawi la kushika. Ikabidi arudi ground kufanya ujasiliamali wa hapa na pale. Anaproduce maji ya kunywa ameona ashindane na akina barkhesa.
Gadafi?
 
Wakuu heri ya sikukuu ya pasaka , na poleni sana kwa mauaji ya askari wetu yaliyotokea huko Rufiji ( Namuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema peponi , Amina )

Baada ya salamu hizi naomba kufahamishwa alipo nguli wa siasa za Zanzibar , Mh Salmin Amour Juma , nimejitahidi sana kuchungulia kwenye vikao vya ccm vilivyofanyika hivi karibuni Dodoma na kwingineko sijamuona .

Komandoo yuko hapahapa au kaenda nje ya nchi ?

Ni swali au kuna kaujumbe unamtumia yule jamaa asiyepangiwa cha kufanya?
 
Tujikumbushe hotuba zake ili tupate kumfahamu na labda wengine wanaweze kutupatia habari za Komando baada ya kustaafu yupo wapi na kama Mzee kwa sasa anatoa nasaha gani kwetu sisi kizazi hiki na historia ya utawala wake tunajifunza yepi mema tuyachukue na yakuacha tuache yapi, ndo umuhimu wa somo la historia kutuhifadhia mafunzo na kumbukumbu.

Mubashara umenikumbusha mbali sana
 
Baada ya kupitishwa kuwa Mgombea Urais wa Zanzibat 1990 alikwenda kuparamia Shangingi Gube Gube na Ngulumbembe la Kichagga kutoka Sharif Shamba Ilala Bibie Salma akamuoa akawa ndie First Lady.

Kwa Sasa Comandoo Ana maradhi ya kutoona kabisa, Mara kadhaa kapelekwa China kufanyiwa Matibabu bila ya Mafanikio

Mwaka 2000 akiwa na Genge lake la kina Gharib Bilal na kina Shamhuna walitaka kubaka Katiba ili aendelee kutawala akazimwa kwa Nguvu ya Uncle Ben Mkapa na Mzee Malecela

Baada tu ya kustaafu Urais Bibie akajua Bata na kuuza Fuvu kwny Media kwisha ( akadai Talaka) akahamia kwa Colonel Libya Kama Part timer

Comandoo kuna Kijana wake Mmoja anaitwa Amour nilikutana nae Uganda( 2004 Kama Sijakosea) ni Mshenzi wa Kiwango cha Lami alifukuzwa Shule Kampala kwa kosa la Kuongoza Kikosi cha Watukutu kuchoma Moto shule
Mkuu kweli unamjua vizr salma kila wiki hakosi kurudi kwao akidai anaenda kumuangalia kaka yake Al maaruf 'Mohd London' vijana wa Bungoni na sharif shamba walikuwa wakijipigia mpaka mzee kashtuka kwa kufanywa babu jinga
 
Jiji hili limeanza kutanuka baada ya Mwaka 1990 kabla ya hapo Tulikuwa tunajuana sana sana na Mengine kwa heshma ya Kibanadamu hatuwezi kuandika!
 
Wakuu heri ya sikukuu ya pasaka , na poleni sana kwa mauaji ya askari wetu yaliyotokea huko Rufiji ( Namuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema peponi , Amina )

Baada ya salamu hizi naomba kufahamishwa alipo nguli wa siasa za Zanzibar , Mh Salmin Amour Juma , nimejitahidi sana kuchungulia kwenye vikao vya ccm vilivyofanyika hivi karibuni Dodoma na kwingineko sijamuona .

Komandoo yuko hapahapa au kaenda nje ya nchi ?
Jamaa macho yamepofuka ila si haba mwanae ni RAS wa Kilimanjaro wanaendelea kula mema ya nchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom