Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Tujikumbushe hotuba zake ili tupate kumfahamu na labda wengine wanaweze kutupatia habari za Komando baada ya kustaafu yupo wapi na kama Mzee kwa sasa anatoa nasaha gani kwetu sisi kizazi hiki na historia ya utawala wake tunajifunza yepi mema tuyachukue na yakuacha tuache yapi, ndo umuhimu wa somo la historia kutuhifadhia mafunzo na kumbukumbu.




Jeuri ya Uzima
 
Salmin Amour rais mstaafu

1792924428469.png
1792924471489.png

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma lipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumsalimia na kumjulia hali yake,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom