chidy aliy
Member
- Apr 9, 2017
- 29
- 17
Siyo peponi panapo sitahiki kutokana naibada zao
Kaacha manyoya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kaacha manyoya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuwa RAS kwa gharama ya macho ya baba ni halali ? Kingine , huyo RAS ndio yule tapeli aliyeanzisha bendi ya taarabu na akamdhulumu Mwanahawa Ally ?Jamaa macho yamepofuka ila si haba mwanae ni RAS wa Kilimanjaro wanaendelea kula mema ya nchi
Punguza povu na porojo mbona anapata sitahiki zote kama wenzake?yeye ni mgonjwa sasa ulitaka aletwe kwenye majukwaa na serikali ndio inayomtibu,tuache ulaghai wa kila kitu kulaumu CCM,Maalimu Seifu tu anatunzwa tu na seriakli hiyo hiyo ya CCM unayoita laghai ,atunzwe Maalim Seif na aachwe Salmin Amour?acheni unafiki Wapemba nyie na ugonjwa ni ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine na si eti laana ya Wapemba,Wapemba hawana uwezo huo bali ni Mungu tu .Hata hao Wapemba nao huugua na kuna vipofu ,je wote hao wana laana.CCM ni moja hayo sijui ya kusema CCM bara mara CCM visiwani ni unafiki wako tu,acha porojo za kijinga,elimika.Shida yenu Wapemba ni kuamini sana ushirikina hata huyo madevu anadaiwa kutompa mkono kiongozi wake eti kwa ajili ya imani za kishirikina.Komandoo yupo na mzima ila amepungukiwa na nguvu ya kuona.Yumkin AhlalBadr na sala kuapiza za Wapemba za kila siku zinahusika na hili
Hio ndio shukuran i na fadhila za a za CCM Bara ni ni mateke. Wakimaliza haja na shida ya kuwatumikia kwa maslahi ya Tanganyika unabaki kuwa takataka mpaka ufe waje na Bendera ya kijani kuja kukebehi kwa kukupa na kumiminia sifa usio kuwa nazo na zisizo kuwepo. Rais Jumbe na Rais Iddrissa waliyaona hayo mapema ndio wakaweka wosia kuwa hawatki dhihaka za kikafiri kufanywa kwenye maziko yao.
Na wewe acha ushabiki ,unaamini aliyoandika huyo Mpemba ni ya kweli?Maalimu Midevu,Lowass,Sumaye wote wanatunzwa na serikali hiyo hiyo mnayoita dhalimu sasa iweje ishindwe kumhudumia kiongozi wa serikali yake na mwanachama wake?Viongozi wenu wanawadanganya sanaAiseeee!!!! CCM ni chama kikatiri sana !
Yupo unguja lakini kwisheene visomo vya wapemba na Dua zimepokelewa na AllahKomandoo yupo na mzima ila amepungukiwa na nguvu ya kuona.Yumkin AhlalBadr na sala kuapiza za Wapemba za kila siku zinahusika na hili
Hio ndio shukuran i na fadhila za a za CCM Bara ni ni mateke. Wakimaliza haja na shida ya kuwatumikia kwa maslahi ya Tanganyika unabaki kuwa takataka mpaka ufe waje na Bendera ya kijani kuja kukebehi kwa kukupa na kumiminia sifa usio kuwa nazo na zisizo kuwepo. Rais Jumbe na Rais Iddrissa waliyaona hayo mapema ndio wakaweka wosia kuwa hawatki dhihaka za kikafiri kufanywa kwenye maziko yao.
Usiwasingizie wachaga tu mkuu, Mwanaume suruali hatakiwi dunia nzima .Daah wanawake wa kichaga bana wanataka mtu nyota iwake tu milele ikififia mbio kwanza anaanza na safari za mara kwa mara kwenda Machame kusalimia uncle Massawe
Nyie watu maneno huwa mnatoaga wapi?Hahaaaaa. Acha tu......ngoja nitarudi naona kuna noah inapita pita nje kwangu

Uliowataja wanalelewa na katiba na.kodi zetu usiwe Kichwa kigumu,wameitumikia hi tz ni haki yaoNa wewe acha ushabiki ,unaamini aliyoandika huyo Mpemba ni ya kweli?Maalimu Midevu,Lowass,Sumaye wote wanatunzwa na serikali hiyo hiyo mnayoita dhalimu sasa iweje ishindwe kumhudumia kiongozi wa serikali yake na mwanachama wake?Viongozi wenu wanawadanganya sana
Usiwasingizie wachaga tu mkuu, Mwanaume suruali hatakiwi dunia nzima .
Sina jingine mkuu , usinitafutie kutekwa bure ! Shida yangu ni mahali alipo komandoo Salmin baaaasi .
Mkuu vipi uchaguzi huu wa chama umegombea chochote hapo Tenende ?Na wewe acha ushabiki ,unaamini aliyoandika huyo Mpemba ni ya kweli?Maalimu Midevu,Lowass,Sumaye wote wanatunzwa na serikali hiyo hiyo mnayoita dhalimu sasa iweje ishindwe kumhudumia kiongozi wa serikali yake na mwanachama wake?Viongozi wenu wanawadanganya sana
Nimejikuta nacheka tu !Punguza povu na porojo mbona anapata sitahiki zote kama wenzake?yeye ni mgonjwa sasa ulitaka aletwe kwenye majukwaa na serikali ndio inayomtibu,tuache ulaghai wa kila kitu kulaumu CCM,Maalimu Seifu tu anatunzwa tu na seriakli hiyo hiyo ya CCM unayoita laghai ,atunzwe Maalim Seif na aachwe Salmin Amour?acheni unafiki Wapemba nyie na ugonjwa ni ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine na si eti laana ya Wapemba,Wapemba hawana uwezo huo bali ni Mungu tu .Hata hao Wapemba nao huugua na kuna vipofu ,je wote hao wana laana.CCM ni moja hayo sijui ya kusema CCM bara mara CCM visiwani ni unafiki wako tu,acha porojo za kijinga,elimika.Shida yenu Wapemba ni kuamini sana ushirikina hata huyo madevu anadaiwa kutompa mkono kiongozi wake eti kwa ajili ya imani za kishirikina.
Na wewe acha ushabiki ,unaamini aliyoandika huyo Mpemba ni ya kweli?Maalimu Midevu,Lowass,Sumaye wote wanatunzwa na serikali hiyo hiyo mnayoita dhalimu sasa iweje ishindwe kumhudumia kiongozi wa serikali yake na mwanachama wake?Viongozi wenu wanawadanganya sana