Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,790
Kwa kupata baraka za "kwaheri ukoloni,kwaheri Uhuru" Mchinjioni DodomaMbona wameangamizana huko huko kwenye archipelagos!
Kwa kupata baraka za "kwaheri ukoloni,kwaheri Uhuru" Mchinjioni DodomaMbona wameangamizana huko huko kwenye archipelagos!
Haoni muda sana tu,tangu zama za JK nadhanSikuamini kabisa , komando akose kuona ?
Mkuu kwani ikiwa kizani japo una vmacho hufanyiJamaaa hata macho haoni ila anaongeza mke khaaaaaa
Jamaaa hata macho haoni ila anaongeza mke khaaaaaa
Hivi Mwinyi kuna wakati alimwita chinjachinja? Halafu Watu walipopiga kelele akasema Salmin ni mahiri wa kuchinja kuku!!Sheikh Mmoja wa Zanzibar pale Mitaa ya Fuoni kwny Mskt niliwahi kusikia Hotuba yake akimkumbusha Salmeen akumbuke kuwa Pamoja na kujikweza eti ni Komandoo atambue Chanzo chake ni Manii ( Shahawa) ambazo ujazo wake hauzidi Kijiko kidogo cha Chai (10 ml)
Hivi Mwinyi kuna wakati alimwita chinjachinja? Halafu Watu walipopiga kelele akasema Salmin ni mahiri wa kuchinja kuku!!
Alikuwa anapenda kusema sharia sharia akirejea kifungo cha uhaini cha viongozi wa Cuf

Aliwahi kumtupia Kijembe Seif kuwa Serikal ya Mapinduzi wala Wana Mapinduzi huwa hawachezewi chezewi Kama unavyochezea Ndevu zako!![]()
Madaraka yanalevya. Ndiyo maana Jumbe alipostaafishwa akatulia zake na kutubu.![]()
![]()
Madaraka yanalevya. Ndiyo maana Jumbe alipostaafishwa akatulia zake na kutubu.

Aliowatukana na kuwatesa akina Juma Duni inasemekana ndio wanaomuuguza , akina Shamhuna wamekimbia !!! Hii dunia kila siku inaelimisha tu .Alikuwa Jeuri sana na laiti angekuwa Rais Zahma hizi za JPM Moto ungewaka,
alipowekewa Vikwazo na Umoja wa Ulaya vya kiuchumi na kutosafiri kutokana na mgogoro wa Uchaguzi 1995 aliwaambia Tembo na Ukubwa wake wote Hana Ubavu wa kuzuia Riziki ya Sisimizi!![]()
![]()
Wosia wa Jumbe:Mimi, Aboud Jumbe Mwinyi, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunibariki kuzaliwa ndani ya Uislamu, na namuomba aniruzuku kufa na kufufuliwa ndani ya Uislamu.
SITAKI Beni, SITAKI Mizinga, SITAKI maombolezo wala lolote lingine lenye hata chembe ya kufuru.
SITAKI hivyo nikiwa hai, nitakapo ondoka katika dunia Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi wangu, duniani na akhera.
Kwani Taa za gari yako zikiwa Mbovu gear pia huwa zinakataa kuingia?
Hata Vipofu 'Mwenge wao wa Uhuru' huwa unawaka Kama kawa!
Mkuu kwani ikiwa kizani japo una vmacho hufanyi
Kiswahili si lugha yangu ya pili, Rejea nilionukuu kutoka kwa Wosia wa Jumbe.Ni wapi kwenye huo Wosia wa Jumbe alitumia neno Kafiri? Wewe umelitoa wapi hilo neno na ulimaanisha nani ndio Kafiri?
Kwani Taa za gari yako zikiwa Mbovu gear pia huwa zinakataa kuingia?
Hata Vipofu 'Mwenge wao wa Uhuru' huwa unawaka Kama kawa!
Wstu mna maneno humu, Kaah!!ABDULRAHMAN KINANI ako wapi?Wakuu heri ya sikukuu ya pasaka , na poleni sana kwa mauaji ya askari wetu yaliyotokea huko Rufiji ( Namuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema peponi , Amina )
Baada ya salamu hizi naomba kufahamishwa alipo nguli wa siasa za Zanzibar , Mh Salmin Amour Juma , nimejitahidi sana kuchungulia kwenye vikao vya ccm vilivyofanyika hivi karibuni Dodoma na kwingineko sijamuona .
Komandoo yuko hapahapa au kaenda nje ya nchi ?
Toka amuache ashaoa mara Tano...hivyo ni haki kutizama na hao wengine walioachwa baada yake wako wapi....na...wanatokea wapiYule first lady kutoka Kilimanjaro ni vipi au ameletewa bi mdogo?