Sad realityYupo yupo haeleweki duniani wala mbinguni
Anayaishi maisha halisi ya ubinadamu wake nje ya madaraka
Kuna yule mwingine Alikuwa ni waziri mkuu WA israel Shaloon hata msiba wake kwa aibu hawaukutangaza. Bado hawa wengine wanaojiona miungu watuAna problema ya kutoonaa!komandoo wetu
Ova
Amehudhuria sherehe za Mapinduzi Matukufu leo ?Yupo Zanzibar, ameoa kama five 0 six months ago
Eeee bhana mkuu shukrani sana .Wakati si milele![]()
I'm not sureAmehudhuria sherehe za Mapinduzi Matukufu leo ?
Wakati si milele![]()
Ameamua kupumzika
Yuko wapi leo na kibri chake ?Le jemedari mwenyewe; Comandoo Amour
Enzi zake alitamba na alijitutumua vilivyo..alikuwa na kiburi na jeuri kumzidi hata Trump
Mkapa mwenyewe alikuwa anatia akili,kwa Comandoo
Kwa nini asioe wakati ana uwezo wa kufanya hivyo.Kaoa tena ?
Unamtafutia nini !! Maana huyu mtu sifa zake ni kuoa na kuacha .natoka tusikie kafanyiwa naniii ya teze dume ndio ukawa mwisho wake wa kusikika anyway ngoja na mimi nisubirie kujua alikoWakuu heri ya sikukuu ya pasaka , na poleni sana kwa mauaji ya askari wetu yaliyotokea huko Rufiji ( Namuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema peponi , Amina )
Baada ya salamu hizi naomba kufahamishwa alipo nguli wa siasa za Zanzibar , Mh Salmin Amour Juma , nimejitahidi sana kuchungulia kwenye vikao vya ccm vilivyofanyika hivi karibuni Dodoma na kwingineko sijamuona .
Komandoo yuko hapahapa au kaenda nje ya nchi ?

Yuko wapi leo na kibri chake ?
Maalim Seif aliulizwa na nani kuhusu kuung'ata mkono unaomlisha na ni msimamo upi alioubatilisha ?Mkuu, Komandoo yupo na ni mgonjwa wa macho, yupo pale nyumbani kwake Migombani sehemu moja yaitwa Kilimani, nje kidogo ya mji wa Zanzibar.
Nakumbuka mwaka 2015 wenye kinyang'anyiro cha kutafuta mgombea wa uraisi wa Zanzibar, kamati maalum ya CCM ilikwenda kwa Komandoo kuomba ushauri wa namna ya kumdhibiti tena Maalim Seif Shariff Hamad ambae kama kawaida alikuwa amepitishwa na CUF.
Ushauri wa Komandoo Dr Salmin ukawa kama ulivyotarajiwa alinukuliwa akisema, "ingawa sijaanza kuona vizuri, nimewaiteni kwa kazi moja muhimu, kujipanga katika medani za kivita".
Akaendelea, "uchaguzi ni vita inayohitaji makomando, silaha na mipango ya kusambaratisha maadui. Ni lazima tupambane na wapinzani wa mapinduzi yetu ili kulinda urithi wetu.” - mwisho wa nukuu.
Dr Shein akashinda uchaguzi huo tena katika mazingira ambayo Maalim Seif akakataa kutoa mkono wa salamu kwa Dr Shein ambae ndiye anaeidhinisha malipo ya posho.
Maalim Seif akaulizwa utaung'ata vipi mkono ukulishao? Baadae akabadilisha msimamo.
Ubabe wa komandoo Salmin na kusaidia kuvuruga zoezi la uchaguzi Zanzibar wa mwaka 1995 ndilo doa pekee ambalo Dr Salmin Amour Juma alijiwekea katika historia ya uongozi wake huko Zanzibar.