YESU amenipa kazi UN

Nani kakuita hapa wewe Mfilisti kizazi cha Eshmael....Naona imekuuma sana...Vipi na wewe uliomba kwa jina la Allah ukakosa nn...?

Tumsifu Yesu Kristu....

aminaaaaaaa na Yesu akutangulie na kukutia nguvu zaidi, ambao mnajifanya hamjaelewa mtajibeba cz mungu aishie na kutawala atawapigania wanaomwamin. Na nyie kaombeni kwa mungu wenu mbona mnawashwa na pilipili msioila?????
 

itahwa
infact umenitoa machozi sana na kunifanya nizid kumuinua MUNGU WANGU hata mama Didy nae ameitwa kuanza kazi UN by theway atakuwa sehemu nje ya dar kwa Muda kwa ajili YA TRAINING THEN WANARUDI KUCHAPA KAZI UBARIKIWE UENDAKO MUNGU AKABARIKI KAZI YA MIKONO YAKOA AKALAANI WALE WAKULAANIAO
 

asante ustaadh kwa ushauri wako.ngoja na mimi nikushauri kidoogo,
kwanza lengo la ndugu yetu sio kujifagilia,kijisifu au kujikweza kwani hajataja sifa yake hata moja bali alikuwa na lengo la kumsifu huyo aliyekuwa anamwomba muda wote wa interview.
Kuhusu kujua experiences za hao wenzake,kwenye interview sio kwamba huruhusiwi kuongea na wenzako,inawezekana kabla na baada ya interview walipata chance ya kupiga story mbili tatu na kufahamiana kidogo.
Pia ujue kujisifia kuhusu Yesu ni wajibu wa kila mkristu kama tulivyoagizwa tulitangaze jina lake na injili yake kwa mataifa na watu wote.
Umejiunga JF tar 9 Marchi(juzi) mwombe YESU akusaidie kushirikiana na wanajamii wenzako vizuri,kusoma posts za watu kwa makini,kuelewa na KUCHANGIA KWA UPEO.

sorry nilikuita ustaadh bahati mbaya,wewe utakuwa huna dini. KARIBU KWA MKOMBOZI WETU
 

Asifiwe sana! Endelea kushika neno na ufanye kazi kwa bidii, huo ni mwanzo tarajia zaidi na zaidi huku ukiendelea kusali na kuchapa kazi! Ubunifu, kujiamini na kutambua jinsi ya kufanya kazi katika jamii yenye watu wa tamaduni tofauti! Ll the best!
 
AMINA.Kumbuka kila goti litapigwa..... na kila alitajaye jina la YESU na auche uovu.ubarikiwe kwa jina la aliye hai.
 
Huko Juba nadhani siku zako za Yesu kuja kukuchukua zitakuwa zimekaribia...
Juba hawahitaji wafanyakzi wa UN uage kwenu kwaheri ya kuonana.
 

Ainuliwe yy aliye juu!
Kiukweli hadi machozi yamenitoka na umenipa moyo kuendelea kumtegemea yy,naamini nitapata kazi pia kwa jina lake siachi kumuomba
 
Yeye ni Yehova Yire, Shalom, Ebenezer, Emmanuels!! Anaweza, jina lake kuu lipitalo majina yote lihimidiwe. Amen. Usisahau kutoa sadaka ya shukrani na kukumbuka kuwasaidia Wajane na Yatima kwani ndiyo sadaka iliyo njema.
 

Mungu ni mwema, nakutakia kila la kheri.
 
Yehova yu hai
Mataifa yote tumsifu yeye
Yehova yu hai
Yehova anatenda
Tumtukuze kwa utukufu wake

hongera sana hata mimi nina imani kwamba siku moja nitakuja fanya kazi BOT sijui lini lakini nina imani kubwa kwa MUNGU
 

well say thanx to GOD
Mungu ni mkubwa kama umepata basi hongera bado sisi tunasubiri siku Mungu atupatie job kweli Mungu ni MUNGU.
 
Mungu ndie kimbilio wa wanadamu wote,hongera sana na sasa usimsahau baada ya kupata neema ambayo hukuitarajia. Praise the GOD.
 
unajua, kuku na bata wote ni ndege,. kuku anataga na bata anataga vilevile,. kuku akitaga hupiga kelele sana kokokokoko kuashiria kwamba yai tayari jamani mkachukue,. bata yeye akitaga kimyakimya maana anaogopa bata dume asimuumize tena.. utakachojua kuwa kataga ni kuona yai,. kwani kuku asipopiga kelele hatutaona yai?
hongera sana kwa kupata kazi, ni wengi sana wanatafuta kazi, kwako wewe ni neema tu, si kwamba hao waliokosa hawana YESU hapana wakat wao bado haujafika, hakuna sababu ya wewe kuwa kuku, ningependa uwe bata ili basi matendo yako yaonekane kwa watu ili wakusifie na si wewe kujisifia hapo utauonja utamu wa YESU na utajua jinsi alivyo, kisha atakubeba uwe wake milele.. all the best
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…