Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

nlikuwa nasubiri post ya udini kama hii nijue msimamo wenu
kwa hivo akiwekwa muislamu ndio watafaulu sana wanafunzi au?
Nampongeza aliemteua anaekaimu kwa sasa
Bakwata undeni baraza lenu la mitihani na mjitenge na NECTA kama mnaona mnaonewa
nlidhani bibie Faiza ana upeo kumbe kichwani zero kabisa

Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
 
Kwa kweli siasa itaharibu elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia sana
Siasa katika Tanzania ni adui mkubwa wa kila jambo, elimu, afya, na hata maendeleo yetu kwa ujumla yanaathiriwa sana na siasa. na hapo ndipo udini na ukabila unapokuja pia kushambulia kama inavyojionyesha humu sasa
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

hizi ndo akili za Lumbumba anayekupa buku 7.5 akiona hili wallah hupati ujira wa leo
 
shukrani za pekee zimwendee Said Mtanda mbunge wa Mchinga ambaye alitajwa humuhumu jf juzi ku injinia mpango huo .
 
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha

Siamini amekuwa 'forced' kuchukua sabbatical bali anajiendeleza na akimaliza anaweza kurudia nafasi yake au kupewa wadhifa mkubwa zaidi
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Awe muislamu! Kwani kazi ya katibu mtendaji ni kuswalisha ama kuiongoza bakwata?
 
nlikuwa nasubiri post ya udini kama hii nijue msimamo wenu
kwa hivo akiwekwa muislamu ndio watafaulu sana wanafunzi au?
Nampongeza aliemteua anaekaimu kwa sasa
Bakwata undeni baraza lenu la mitihani na mjitenge na NECTA kama mnaona mnaonewa
nlidhani bibie Faiza ana upeo kumbe kichwani zero kabisa

Na wewe nawe! Huyo kila kitu anakiona kwa mtazamo wa uislamu vs Ukatoliki basi!
 
Sisi wa lile dhehebu tulidhani sasa atawekwa "mwenzetu" kukaimu na baadaye kuthibitishwa, kuna holaaa! Kwa mwendo huu, vita yetu na necta haitakwisha asilani.

Wamefanikisha malengo yao badala ya kumuondoa Shukuru Kawambwa wanamtosa Dr. Ndalichako kwa vile sio wa dini yao; watamtafuta wadini yao hata kama hajazaliwa ndio wampachike hapo kwani walishafanya hivyo pale COSTECH na wizara ya ujenzi!!!! Sulubu yenu iko jikoni mtakuja juta!!! Halafu kwa efedhuli wenu huu mnataka kinara wenu wa udini apewe tuzo ya MO IBRAHIM!!!!!!
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Nilikuwa nakuheshimu sana dada yangu lakini kwa mchango wako huu,

Umejipunguzia Heshima ya Utu wako na Umewapatia Heshima ya Mashaka

watu waliokuheshimu kwa muda mrefu pamoja na waislamu wenzako.

Nijambo la aibu ktk zama hizi kuingiza chembechembe za udini kwenye Professionalism
ktk utendaji. hupaswi kujutia kuwa muislamu, kinachotakiwa ni kusoma kwa juhudi
na mhimizane kubadilika. Nyinyi upande wa pili wa dini kuna mambo fulani mlishakosea
huko nyuma ndo kinachowatafuna hadi sasa na mnadhani adui yenu ni NECTA
chini ya NDALICHAKO, Real you are fighting the wrong enemy.

Hapa ndo mnaponikumbusha Luddism na chartism huko England.

I stand to be corrected.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Kwa nini iwe muislamu? Kwani nafasi za serikali hutolewa kwa kigezo cha dini? Kwani huo ni uongozi wa msikiti? Shame on you Faiza mnachotaka ni kugombanisha watanzania kwa kigezo cha dini. Shame on you again and again. Leo umenikera sana foxy
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Si kuwa huna haya tu bali huna hata aibu.
"Hatutachagua mtu kwa dini yake na hatutaacha kumchagua mtu kwa ajili ya dini yake" (JK Nyerere, 1995)
 
Faizafoxy;
Muislam ni nani na mkristo ni nani? Kwa tafsiri ya mkristo mimi kama mkristo; NI MTU ANAYEISHI KATIKA MISINGI YA KIKRISTO,MWENYE TABIA KAMA KRISTO.Hivyo mlevi,muongo,mwizi,mzinzi nk kwa tafsiri ya ukristo si mkristo ni mtu mwenye jina la kikristo kama wewe ulivyo na jina lako.Majina yasikuzuzue tu!
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

haya ndio matatizo ya kufikiri kwa kutumia ubongo wa chini.Hatuchagui kwa kutumia kigezo cha mwenzetu bali uwezo wa mtu.
 
TUone kama tatizo litaisha, with Dr Kawamba na Le profesare Mlugo?!
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
2Q==
 
Back
Top Bottom