KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,612
- 4,218
Kwa hao jamaa huruhusiwi kukaa, kuongea wala kupumzika. Unakuwa kama roboti tu.Kuna kiwanda nilienda aisee ile kazi hata kwa 20000 unaeza usifanye Lakini wao wanakupa 4500 na kula juu yako kazi masaa 12 dah wahindi wanajua kutesa asiee wanakuminya hupati hata mda wa kuwaza kufanya mambo yako