Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

un
Yaani. Ni shida tupu .na hasa usipojielewa umefata kazi au mapenzi.
akuta mmama kabisa ni mke wa mtu na wana watoto wanne ,,sasa visketi vyenyewe mitego mitupu,mkaka ukianza kumzoea basi ,,zinaanza sweaty sweaty mwisho wa siku uzinzi unafanyika,,,,,,siku hizi yeyote analala na yeyote,,,bosi ana mfanya muuza maandazi ofisini,mwanamke anafanywa na vijana wapya maofisini ni full ufuska
 
Balaa tupu
 
Unayoyasema ni kweli tumeshuhudia ila pia kuna wadada wana misimamo, tunao ofisini ambao wana misimamo balaa na wanajiheshimu mno na imefikia hatua hakuna wa kuwaambia mambo ya kijinga. Wawili wameolewa. Lkn sasa kuna mmoja aliwahi kuja duh duh duh ndani ya miezi 3 na safari za kikazi watu walipiga sana na aibu ikamfanya ikamuondoa.
 
Wanabodi,

Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu.

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100,000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa, mume wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete.

Hivyo basi ushauri: Kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua.
MKE ni pambo la ndani!
Ukiliachia pambo SOKONI tambua watu watanunua.NDIO maana dini ya kiislamu haitoi nafasi kwa mwanamke kufanya kazi ,kazi ni jukumu la mume kwa maana kazi ni shuruba , na mwanamke hawezi shuruba ,mwanamke ameumbwa kustarehe .
kazi yake kubwa ni kuhudumia mume, nyumba,watoto na kubeba ujauzito.
kwa kazi ZOTE hizo ni SHARTI mume amlipe mshahara kama mfanyakazi.
(maana yake , Isingekuwa maumbile yetu hata kazi ya kubeba mimba,kujifungua,kupika,kutunza watoto na mengine ni kazi ya mume tu!)na kwa maana hiyo ndio maana mume ANASTAHILI Kumlipa mkewe mshahara kila mwezi kwa MAKUBALIANO yao ndani).
 
fikra finyu
 
papachu laki, inamuziki na bluethooth kwani? halafu gharama za gesti na kondom juu yangu, kisha gharama za viburudisho juu yangu? PAMBAF Wakati shivaz kaki inagonga chafsta uchochoroni na kondom demu anakuwa nayo, hakuna gharama za gest wala viburudisho.
 
Watu wanavyodai kazi ni ngumu kupata siku hizi unapataje kazi alafu unabadili ili kuwa karibu na mume/mke?

Msaliti msaliti tu hata ukimuweka mfukoni atasaliti hata kwa chance ndogo atakayoipata
Point... Hata mkikaa na kulala pamoja kila siku,hata kama tunauza wote supermarket ytu lakin akitaka kuchepuka dj 0 tu..
 
Kuna ukweli,ni kusali tena kwa bidii,maana hao unaowasema wana act ulokole ina maana wanaenda hata kwenye nyumba za ibada na huku kazi yao ni kuharibu imani za watu wengine kwa mitego yao ya kishetani,hapa ndio napata picha kuwa inakuwaje mtu ni mtumishi wa Mungu halafu anajiingiza kwenye matendo ya uzinzi na wake za watu...
 
Hiyo hali haijaanza leo. ww chuna tu na uache wivu maana ungelipendwa ww usingelilalamika
 
Umeshau na wambea wa ofisi. Hata akiwa mgeni habari zote anazijua na anatangaza kwa watu .

Ndio huyu sasa. Eti mgeni alafu Siri anazijua.
Mleta uzi utakuwa umesikia watu wanataniana ofisini kwamba atoe laki akapewe papuchi ukadhani ni kweli.

Hivi unamiaka mingapi?

Je hii ndio Mara yako ya kwanza kuajiliwa.

Kugegedana baina ya workmate ni jambo la kawaida
 
Ni maadili mabovu tuu yaliyozidi maofisin...watu proffessiional codes of conduct zimepita pembeni....umbali wa mume na mke sipingi linachangia kukuza huo upuuzi...asilimia ndogo sana wanaweza kuhimili kukaa kwa utulivu muda mrefu wawapo mbali na wenza wao.....kikubwa pia TUJIFUNZE KUJICOMMIT KWA MUNGU...I MEAN KUWA NA HOFU YA MUNGU.....Mpewe busara za kuishi na wenzi wenu...otherwise dunia imejaa stress sana sasa usipojua namna ya kuzipunguza...maisha kamwe hayatakuwa ya amani kwako na hvyo short life expectance will b upon u.

Mkuu what are those professional code of conduct are you referring to?
 
Ndio huyu sasa. Eti mgeni alafu Siri anazijua.
Mleta uzi utakuwa umesikia watu wanataniana ofisini kwamba atoe laki akapewe papuchi ukadhani ni kweli.

Hivi unamiaka mingapi?

Je hii ndio Mara yako ya kwanza kuajiliwa.

Kugegedana baina ya workmate ni jambo la kawaida
Hii hatari kama kugegedana miongoni mwa ma-workmates ni jambo la kawaida,basi itabidi tufikirie upya wake wa kuoa maana hata maadili yakazi sidhani kama yanaruhusu.Mungu aniepushie nisije kupata mke ambaye kugegedwa kazini kwake ni jambo lakawaida.
 
Mkuu what are those professional code of conduct are you referring to?
Siyo kilakitu lazima kiwe reffered kwenye professional code of conduct,vingine jiongeze mwenyewe ndiyo hapo utajua tofauti kati ya mnyama na binadamu kiakili.
 
Malaya mama yako nasubiri povu......kuna watu mnajifanya machizi sana hivi unadhani kutukana wewe ndiyo una mdomo peke yako!! Huwezi kunipinga mpaka unitukane??
Kwann nizunguke, mm ni mkweli huwezi ishi kinafiki harafu tunachotaka ni kusema kweli ww unaleta upumbavu ww sjui umekula maharage Gani mpuuz mkubwa ww
 
H
Mambo mengne yanaweza yakakufanya hata usitaman kwenda hata likizo na kufanya kaz overtime bila malipo
hacha uoga kaka!! huyu jamaa hajawahi kufanya kazi sasa mshahara wake anataka kuuanzia hapa ofcn!! tena vile vibinti vya uhasibu vitamfiris..
 
Back
Top Bottom