Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Afu muda wa kudungua wake za watu ni asubuhi tuu..

Yaani saa 1 asubuhi hadi saa 4 mtu keshapigishwa kwata..

Kazini anajidai kuwa kapata emegency ( mara mtoto kaugua ghafla, mme wangu anaumwa/ au yeye mwenyewe anajiadai anaumwa)

Jioni anawahi home kama kawaida..! Saa 11 yuko home kama kawaida yake..

Hii kitu balaa sana
 
Hii story hainogi bila kuweka picha za hao staff wa kike wanaoigiza ulokole...


Na namba zao uweke hapa maana ndio vitu vyangu hivyo vile napendaga...

Sipendagi ujinga wa kuachia fursa hivihivi mimi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Umeshau na wambea wa ofisi. Hata akiwa mgeni habari zote anazijua na anatangaza kwa watu .
 
Ni balaa. Kila MTU na couple yake. Haijalishi ana mume.
Au Ana mke nyumbani. Full ufuska. Ukimwi utaisha saa ngapi kwa style hii.
Thanks for reasoning!

Si mpenzi sana katika jukwaa hili ila umeandika kinachopaswa kuandikwa.
 
Wanabodi, kama umeoa au umeolewa na mme au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa.

Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu!

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa,Mme wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete!

Hivyo basi ushauri: kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua!!.
Fanya kaz
 
Usibishe,makampuni mengi siku hizi wadada na wake za watu ndo machangudoa wa makampuni,ni kugegedwa tu kwa makubaliano ya kuweka dau..!!
Huo ndio ukweli wamekalia ubishi tu!
 
Back
Top Bottom