Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Watu wanavyodai kazi ni ngumu kupata siku hizi unapataje kazi alafu unabadili ili kuwa karibu na mume/mke?

Msaliti msaliti tu hata ukimuweka mfukoni atasaliti hata kwa chance ndogo atakayoipata
huyo ndo joanah
 
huku kwetu hali ni shwari kabisa... hakuna hizo mambo.
...UHUNI TABIA.
 
Acheni msioe muwe single kuepuka shida zote.kuoa sio lazima.
 
Yapo sijakataa ila kama tabia ya mtu ni uhuni...awe mfanyakazi..mfanyabiashara...mama wa nyumbani utagongewa tu...utaenda ofisin huku nyuma muuza samaki atatembea nae....halafu kapondea wanawake utafikiri wanatembea wao kwa wao.
Sometime itakuwa sio tabia yake bali inatokana na kushawishiwa au kuvutiwa na workmate. Wanaume tumekuwa wajinga sana huku wanawake wakiwa wapumbavu sana
 
Ata sisi apa kwetu n hatariii.. Very descent ila wanaenda kupigwa mda wa lunch.. Na wanapgwa kwa hela
 
Daaah Mungu anisamehe, ujinga huu siyo wakufanya kamweeee wala kuthubutuu
 
Waache wachapane tu,sema wananiudhi kwa kuwa wanauziana.
 
Na hata hvvyo wengi wanaajiriwa kwa kutoa uchi siku izi so mtu akishatoa uchi mara moja akiingia kazn kuendelea kutoa inakua jadi
 
Mkuu! Njia kuu yako ndio mchepuko wa mwenzio.
 
Unintended consequences, sidhan muheshimiwa kama aliliona hili wakati anabana posho. Viumbe wa kike wanayo kazi sana ku "maintain" status zao.
 
Serikali ya viwanda, naona viwanda vinaingiza pato la kutosha hadi laki kwa tendo
 
Back
Top Bottom