Hata mom wako anamchepukia baba ako....kunyimana ulichopewa bure sio vizuri hata manabii walikataa uchoyo....Ndio sababu mimi I only trust my mom in this world
Kwani hujui kumegewa ni siri ya ndani hupaswi kutangaza!!Bosi akitembea na mke wako hutavujisha siri?
Una stress wewe, si kwa kupaniki hukoKwann nizunguke, mm ni mkweli huwezi ishi kinafiki harafu tunachotaka ni kusema kweli ww unaleta upumbavu ww sjui umekula maharage Gani mpuuz mkubwa ww
Wala sina stress yoyote unachoniktisha ww ni Ile tabia uliyonayo ya kutendewa mabaya kabisa harafu huwezi sana two unaogopa nfo upumbavu wako ulipo unajua ukificha unafanya na wengine wafanyiwe hivyo nn tatizo lako ww kikombe cha pilipili au hukijui?Una stress wewe, si kwa kupaniki huko
Mkuu shivaz pale namanga?papachu laki, inamuziki na bluethooth kwani? halafu gharama za gesti na kondom juu yangu, kisha gharama za viburudisho juu yangu? PAMBAF Wakati shivaz kaki inagonga chafsta uchochoroni na kondom demu anakuwa nayo, hakuna gharama za gest wala viburudisho.
Arusha kaloleni Nyuma ya Golden rose hotelMkuu shivaz pale namanga?
kwanini asiseme ukweli..?Acha umbea.
Mkuu haka kaneno"Aseeeh"inaonesha unakapenda san.Nishaona unakatumia sehem tofaut tofautAseeeeh
Nakapenda saana mkuu kapo kinywani aseeh...Mkuu haka kaneno"Aseeeh"inaonesha unakapenda san.Nishaona unakatumia sehem tofaut tofaut
[emoji121]Wanabodi,
Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu.
Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100,000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.
Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa, mume wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete.
Hivyo basi ushauri: Kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua.
Jaman katoa kama ushaur tyuuu tusibishe kwanza je asemayo yapo au hayapo?