Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Ata sisi apa kwetu n hatariii.. Very descent ila wanaenda kupigwa mda wa lunch.. Na wanapgwa kwa hela
Na nyie pia mnataka nyongeza ya mshahara na kupandishwa vyeo? Wakati mwingine Bwana yule yupo right kutopandisha mshahara au vyeo
 
Wanabodi, kama umeoa au umeolewa na mme au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa.

Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu!

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa,Mme wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete!

Hivyo basi ushauri: kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua!!.

Daah umenikumbusha bosi wangu ana demu wake hapa kwa ofisi ni shida kuna kipindi mahaba yalinoga ofisi nzima ikashangaa nin kinaendelea kati yao yaan aisee nilimuonea huruma mke wa bosi yupo kikazi huko mkoani na mumewe anachepuka jaman kuna wanaume hawana hofu ya Mungu na ahadi waliyoiahidi pale kanisani itawamaliza kwa kweli.
Ofisi ikawafuatilia wee baada ya uchunguzi bosi wetu akashushwa cheo,,,demu amemkacha hata kwenye ofisi yetu hafiki tena kama zamani...
 
hivi
Wanabodi, kama umeoa au umeolewa na mme au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa.

Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu!

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa,Mme wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete!

Hivyo basi ushauri: kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua!!.
umesema wanauza elfu kumi au laki moja?
 
huku jwetu kuna mkurugenzi anamla mke dt na dt naye ana mla mke wa dhro . na dhro naye ana mla mke ded ni full vichekesho
 
Wanabodi, kama umeoa au umeolewa na mme au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa.

Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu!

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa,Mme wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete!

Hivyo basi ushauri: kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua!!.
Nipe namba zao wanaouza papuch hao niburudike na music wa vyombo vitupu
 
Muwe pamoja wapi ofisini au?

Mkiishi pamoja hiyo inamzuiaje yeye kutosaliti ndoa?

Nadhani tatizo sio kuishi mbali na suluhisho sio kuishi karibu. Watu hawaheshimu ndoa na viapo walivyoahidiana walipofunga ndoa.

Nikupongeze pia kwa kuonyesha weredi kwenye uchunguzi na kukusanya taarifa maana ni mgeni hapo ofisini lakini una taarifa zote za wafanyakazi wenzako. Juhudi hizo pia zifanye kwenye kazi iliyokufikisha hapo ofisini.
 
Yaani ni mgeni ofisini na ushaanza umbea?

Nadhani unazungumzia watu wasiojitambua...kama mtu ni mhuni haijalishi yupo karibu na mwenza wake au mbali atafanya tu uhuni.

Mtu anajiuza kwa laki 1 anakupa
mzigo ngumu hiyo tusidanganyane!!....kutembea baina ya wafanyakazi hiyo ipo lakini kujiuza kwa dau mmmh uongo.
Ha! Kusema ukweli imekuwa umbea?hakika nyie Malaya ni balaa
 
nilikuaga ofisi moja ya TANESCO sitaji mkoa,basi unaeza kuta mdada kagawa kwa staff wote,ni shida,,au unaeza kuta mbaba kaonja wote hadi wale wafanya usafi
Yaani. Ni shida tupu .na hasa usipojielewa umefata kazi au mapenzi.
 
Ofisi yenu itakuwa na tabia chafu sana... Its a matter of time na wewe ukipata vimshahara viwili vitatu utajiunga kwenye chama...

Inasikitisha sana... Poleni sana... Sisi wengine ofisi zetu sheria zipo ngumu sana hayo mambo hakuna kabisa...

Cc: mahondaw
Sio ofisi zao ni ofisi nyingi tu zenye uchafu huo
 
Back
Top Bottom