Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

wacha tu wagawe maana kunyima mtu dhambi wakati kitu unacho
 
Ni maadili mabovu tuu yaliyozidi maofisin...watu proffessiional codes of conduct zimepita pembeni....umbali wa mume na mke sipingi linachangia kukuza huo upuuzi...asilimia ndogo sana wanaweza kuhimili kukaa kwa utulivu muda mrefu wawapo mbali na wenza wao.....kikubwa pia TUJIFUNZE KUJICOMMIT KWA MUNGU...I MEAN KUWA NA HOFU YA MUNGU.....Mpewe busara za kuishi na wenzi wenu...otherwise dunia imejaa stress sana sasa usipojua namna ya kuzipunguza...maisha kamwe hayatakuwa ya amani kwako na hvyo short life expectance will b upon u.
 
Ofisi yenu itakuwa na tabia chafu sana... Its a matter of time na wewe ukipata vimshahara viwili vitatu utajiunga kwenye chama...

Inasikitisha sana... Poleni sana... Sisi wengine ofisi zetu sheria zipo ngumu sana hayo mambo hakuna kabisa...



Cc: mahondaw
 
Ni kweli kwenye ofisi za umma hali ni tete, watumishi wanalambana kama hawana akili. Lakini kuhusu kutoa mzigo kwa pesa sio kweli. Mizigo mbona inatolewa bure tu maana issue sio pesa. Kwa uzoefu, wanawake wanaodai pesa mara nyingi huwa sio walioajiriwa. Walioajiriwa huwa wanatoa tu mzigo bure maana kama ni pesa na wao wanazo kama wanaume. Mizigo huwa inatolewa zaidi pale inapotokea safari kwa ajili ya semina.
 
Wanabodi, kama umeoa au umeolewa na mme au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa.

Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu!

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa,Mme wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete!

Hivyo basi ushauri: kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua!!.
Nyie ni kundi la wazinzi, kwa nini kuwatuhumu wafanyakazi wote?
 
Ukimwi kitu gani bhana... siku hizi tunaogopa kansa na kisukari.
Hhaahaaaaa, kweli watu siku hizi hawaogopi ukimwi.
Mi nimehamishiwa kijijini nkajua hapa pametulia..Kiruuu...... Wake za watu, wanafunzi wa secondary ni wanabanjuliwa vibaya mno.
Kwa kweli kwa sasa usijidanganye kuwa mke wangu ni wangu peke yangu.
Wanaume tumekuwa wajinga kupita kiasi...nisamehe lakini
 
Usibishe,makampuni mengi siku hizi wadada na wake za watu ndo machangudoa wa makampuni,ni kugegedwa tu kwa makubaliano ya kuweka dau..!!
Mop nimemuelewa mtoa mada sana tu, sikatai kwenye maofisi mengi kuna uchafu ila sio wa kiwango hicho jamani cha kujiuza kwa dau kabisa!!

Kwa hiyo we unagawa bure mkuu manake inaonekana ni miongoni mwa wanaojiuza.
Mnyerede ndiyo akili zako zimeishia hapo...ujanipanikisha bado ila nimekudharau tu Mkuu.
 
Jaman katoa kama ushaur tyuuu tusibishe kwanza je asemayo yapo au hayapo?
Yapo sijakataa ila kama tabia ya mtu ni uhuni...awe mfanyakazi..mfanyabiashara...mama wa nyumbani utagongewa tu...utaenda ofisin huku nyuma muuza samaki atatembea nae....halafu kapondea wanawake utafikiri wanatembea wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom