Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yapo sijakataa ila kama tabia ya mtu ni uhuni...awe mfanyakazi..mfanyabiashara...mama wa nyumbani utagongewa tu...utaenda ofisin huku nyuma muuza samaki atatembea nae....halafu kapondea wanawake utafikiri wanatembea wao kwa wao.
Feminist detected.
Maada ya Leo ilikua inahusu wafanyakazi wa maofisini.
 
Kwa mwanzo nilidhani umeleta umbea, Lakini kwa jinsi ulivyoshambuliwa nimeamini Umesema kweli kabisa sema umerusha jiwe juu ya paa LA mabati ya chuma.
 
Mi nashangaaga wale wanaume wanaosema, 'mi nataka mke anaefanya kaz ofisi kubwakubwa'. Unajaua kafikaje pale? Utasema ni vyeti! Endelea kujidanganya. We mwenyewe huku kwako secretar hapon, alaf hatak kusalitiwa na mkewe...
Janga.
Haya nilioandika ni %nyingi, wanaopona ni wachache sana.
 
Ukiachilia wanawake wa bar, kundi linalofuatia kwa utoaji wa papuchi ni wanawake wanaofanya kazi. Utamwona mwanamke saa 4 anabeba kabegi kake anaenda kugegedwa saa 6 unarudi ofcn, muda wa kazi ukiisha , hapotezi muda safari home, halafu anaonekana mtiifu kweli. Wanawake watumishi ni wa Malaya sana,
 
Wanabodi,

Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu.

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100,000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa, mume wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete.

Hivyo basi ushauri: Kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua.
Mkuu ofisi gni hyoo
 
Afu muda wa kudungua wake za watu ni asubuhi tuu..

Yaani saa 1 asubuhi hadi saa 4 mtu keshapigishwa kwata..

Kazini anajidai kuwa kapata emegency ( mara mtoto kaugua ghafla, mme wangu anaumwa/ au yeye mwenyewe anajiadai anaumwa)

Jioni anawahi home kama kawaida..! Saa 11 yuko home kama kawaida yake..

Hii kitu balaa sana
Inaonesha wew ndio kazi yako hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story hainogi bila kuweka picha za hao staff wa kike wanaoigiza ulokole...

Na namba zao uweke hapa maana ndio vitu vyangu hivyo vile napendaga...

Sipendagi ujinga wa kuachia fursa hivihivi mimi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]khaaaaah jf Raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu.

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100,000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa, mume wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete.

Hivyo basi ushauri: Kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua.
Uko ofisi gani?
 
Back
Top Bottom