Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Ukiachilia wanawake wa bar, kundi linalofuatia kwa utoaji wa papuchi ni wanawake wanaofanya kazi. Utamwona mwanamke saa 4 anabeba kabegi kake anaenda kugegedwa saa 6 unarudi ofcn, muda wa kazi ukiisha , hapotezi muda safari home, halafu anaonekana mtiifu kweli. Wanawake watumishi ni wa Malaya sana,
Aisee hyo ni kweli kabixaa
 
Unaweza kataa ili swala lakini we ngoja watoto wakike waje kama watatu hivi ofcni kwenu angalia watakavyo kuwananuna wanawake wa hapo. Soko lao lina kufa lingine watoto wanakua na maisha mazuri zaidi ya wakiume. Lifti kedekede tena ckuiz kila mtu anagari ofcni basi no need for gest house. Mi nimeshuhudia watu wakishindana kuwa wakwanza kuwapitia na wapili. Hatare sana
Khy wanaliwa ofisini
 
Umeingia ofisini siku mbili tu umbea umekujaa. Sera ya kufyatua tu serikali itasomesha huijui?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Afu muda wa kudungua wake za watu ni asubuhi tuu..

Yaani saa 1 asubuhi hadi saa 4 mtu keshapigishwa kwata..

Kazini anajidai kuwa kapata emegency ( mara mtoto kaugua ghafla, mme wangu anaumwa/ au yeye mwenyewe anajiadai anaumwa)

Jioni anawahi home kama kawaida..! Saa 11 yuko home kama kawaida yake..

Hii kitu balaa sana
 
Unakuta ofisini wanawake wanapenda mtelemko mke wa mtu anaomba ofa ya lunch kwa mme wa mtu hapo tutegemee nini. Wazungu wanasema no free lunch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Kubusiana Lakini Ni Raha Tu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Wanabodi,

Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu.

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100,000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa, mume wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete.

Hivyo basi ushauri: Kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua.
Hii ishu ni kweli kwani hata mimi nina ndugu yangu anaandamwa na hili janga na ninahisi hajijuwi kuwa analiwa chakula chake maana yeye yuko bize tu kusengenya wenzake na kufuatilia maisha yao. Huyu shemeji yangu katokea katika familia moja ya cjini sana ila baada ya kuajiriwa na kuwa front desk anapakuliwa na boss wake, kajengewa nyumba na kununuliwa gari huku ndugu yangu akiona fahari na kuringishia ndugu wengine wasio na magari. Shemeji mpaka alichomoa mimba ya kibosile wake akimdanganya ndugu yetu kuwa mimba imeharibika. Ndugu tumeshauriana asiambiwe ndugu yetu kutokana na tabia zake za kike (kijinga).
 
Back
Top Bottom