Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,470
- 2,864
Moja na mbili sio kosa na kama kuna kosa basi sio kosa la kigaidi.
Namba tatu, sio Kingai wala mashahidi waliofuata ambao wameweza kuthibitisha hizi tuhuma.
Namba tatu, sio Kingai wala mashahidi waliofuata ambao wameweza kuthibitisha hizi tuhuma.
YES
Shitaka ni kunuia kutenda matendo ya kigaidi kinyume cha sherai ya ugaidi ya 2002
1. Kakusanya watu- rejea Kingai, Kaaya, tigo, airtel, forensic
2. Mwenzake kuwa na bastola isiyosajiriwa-rejea Kigai, msajiri wa bunduki, mtaalam wa milipuko
3. kafadhili- rejea rejea Kingai, Kaaya, tigo, airtel, forensic