Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Kwenye ndege pana ufisadi Mkubwa sana thus atuonyweshwi risiti za manunuzi, mapato na matumizi wametugeuza shamba la Bibi, wanazisomba huku tukishindia mihogo, Mungu awalaani kabisa hawa
 
Back
Top Bottom