Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Yaani wewe nashauri urudi kwanza darasani ukajifunze Kuandika kiswahili: Sina uhakika kama Umeona ulichokiandika?!!! Kibalaka, mabebelu, awezi, lais, ata, labda ulikuwa Unaandika kilugha chenu, hakuna kiswahili hapo!!?
Umempa zake huyo malaya, anaejiita Jane Lowasa, huwa anapenda kuleta shobo kumbe hata kuandika hajui maskini. Na hapo ndo unamkuta ni shabiki waheda wa green party

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa Rais!

Watanzania tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!

Watanzania wepi sema wewe unamsemea nani kura ni siri ya mtu bwana usimpangie mwengine jisemee wewe binafsi
 
1600122094063.png
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa Rais!

Watanzania tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Wananchi wa wapi unawasemea wameamua? Labda wananchi wako hapo gheto kwako mnaposhinda mkidanganyana,
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa Rais ata iweje.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa Upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jike
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni wananchi , basi kwa heshima na taadhima nakuombeni tuendelee kubaki hapa hapa kwa taarifa zaidi.

=========

LISSU: Naomba nizungumze habari ambayo leo Rais wetu ameizungumza pale kijijini kwake Chato. Amesema kwamba huyo mtu aliokula ugali akashiba anachikiona ni Chato tu, kwanini hahoji viwanja vingine ambavyo tumevijenga akataja Singida, Songea, Shinyanga, Dodoma na vingine vingi.

Nimezungumza Chato sana, naomba nifafanue kwanini Chato lazima iwe kelele.

Uwanja wa Chato ni tofauti na viwanja vingine vyote, tofauti yake ni hii, Chato ni kijiji wala sio mji. Karibu na Chato kuna kamji kakubwa kanaitwa Katoro hakana uwanja wa ndege, mbele kuna mji mkubwa wa Geita, hakuna uwanja wa ndege.

Sasa kwanini Chato? Ni kwa sababu mija tu, Magufuli ni Rais ndio maana kuna uwanja wa ndege Chato. Mwaka 97 wakati Mkapa akiwa Rais ilitungwa sheria ya maadili ya viongozi wa umma, inasema kiongozi wa umma hapaswi kutumia mamlaka yake ya umma kwa manufaa yake binafsi.

Kiongozi wa umma wa kwanza ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, tujiulize manufaa ya umma ya uwanja wa ndege wa Chato ni yepi?

Hizi ndege nyingi alizonunua anazotutambia nazo hakuna hata moja inayokwenda Chato. Hakuna abiria hata mmoja anaekwenda Chato, mtu pekee anaekwenda Chato ni Rais Magufuli na nimesema na mama yake wala sio uongo, na ndugu zake.

Uwanja wa Chato umeharibu mabilioni ya shilingi za kitanzania, ni mfano wa kwanza wa jinsi ambavyo watu wenye mamlaka ya umma wanaweza kutumia mamlaka yao vibaya.


=======
UPDATES
Hapa ni jimbo la Makambako Mkoa wa Njombe
View attachment 1569763

View attachment 1569768
Ni yeye Lissu 2020 Watanzania tunasema unatosha, bye bye Magu
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa Rais!

Watanzania tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Kwahiyo hao wanaokusanyika, wanaotaka kumpigia kura wao sio watanzania?
 
Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni wananchi , basi kwa heshima na taadhima nakuombeni tuendelee kubaki hapa hapa kwa taarifa zaidi...
UPDATES
Hapa ni jimbo la Makambako Mkoa wa Njombe
View attachment 1569763

View attachment 1569768

Hivi kweli kwenye msafara wa huyo mgombea mwingine watu wanaruhusiwa mumkaribia hivi?
 
Kwa hiyo kusali ni kutojiamini siyo. Makamanda mtatuonesha mengi mwaka huu. Nasubiri kuona mwelekeo wa post zenu hapa kuanzia Novemba. Sijui mtaanza na lipi, tume huru au katiba!
Vyote na wewe kama una akili timamu unajua hivyo
 
Ilikuwa jana kwa uwazi na mafumbo fumbo, mgombea Urais wa CCM ndugu John Pombe Magufuli akiwa Chato kijijini kwake, alimshambulia Tundu Lissu juu ya ujenzi wa CHATO INTERNATIONAL AIRPORT na ununuzi wa ndege maarufu kama "ndege za Magufuli"

Leo akizungumza na maelfu ya wananchi wa Mbarali, Tundu Lissu akioneshwa wazi kukasirishwa na mipasho ya mgombea huyu wa CCM, naye kwa kutumia lugha ya ukali kidogo aliamua kuzichana chana hoja zake kwa facts na vifungu vya sheria...

Ni ngumu kumeza lakini imesemwa. Mfuatilie mwenyewe kwenye video hii hapa
 
Zanzibar ndio Wamenikosha Kwaleo

Nanukuu Magufuli Mkono Unakuwasha Unataka Kuua Sasa Anza Na mm Nahuyu Siro kama anataka Kuja Pemba Wapemba Tunamkaribisha

Aje Na Ndoo Beseni Godoro Sufuria Mwiko Bakuli Aamie Kabisa Nasema This Time Tutaingia Barabarani Nami Nikiwemo
Sawa sawaaaaaaa. (Seif Shariff Voice)
 
Back
Top Bottom