Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

ANITA VALERIAN MTALO. Jina la shahidi kwa usahihi.
Mtu fulani wa Rau Madukani kanitumia inbox.
Hebu akupatue wasifu wa huyo mama hapo Rau, biashara zake na maisha yake Kwa ujumla. Anaishi hapo hapo Rau polisi walienda kumwazima kwingine.
 
Gaidi ni yule aliyagiza kutungwa kwa kesi hii ya uongo na uzuri Mungu kamuwajibisha mapema kabla kesi haijaanza sasa hivi anabanikwa tu kama mshikaki huko kuzimu.
Nani kakwambia mtu akifa anakwenda kuzimu kuadhibiwa. Adhabu ni hapa hapa dunia bro, roho za akina wangwe ndiyo zinalipiwa hapa hapa. R.I.P
 
1. Watu wawili wote, asiwepo hata mwenye shilingi 100 mfukoni jamani?

2. Maskari wakishazidi wawili utasikia wanaitana kwa majina, afande Suguti, lkn huyu kwenye eneo la tukio anafahamu mmoja tu, Jumanne!!!!

3. Inakuaj muuza mbege ajue upande zinapokaa magazine, au ni mhitimu wa JKT? Hadi namba za Bunduki?

4. Kuna walakini mkubwa sana katika maelezo. Kwa hiyo tuchukue yapi, chukua yote! Chukua yote??? Hapa ni Pep Guardiola anahusika kwenye formation

Hapo kwenye 'chukua yote' mimi nimewaza hovyo sana, sijui nikoje mimi..!
 
Back
Top Bottom