Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Huwa mnakenua meno hivi hivi alafu mkipigwa na vitu vizito mnaanza kulia!

Yani mnafurahia hizo porojo za kina kibatala wenzenu kuna vitu wanangalia zaidi ya hizo porojo

Kwakuwa ni kesi ya kubumba, basi hata hukumu itakuwa nje ya ushahidi. Hakuna akili yoyote hapo bali facts ndio zinazoamua kesi. Hadi sasa ushahidi ni wa kubumba fullstop.
 
Serikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
Labda wataleta shahidi mpika gongo.
 
Muuza mbege anataja kitu kigumu kujidai kuwa haijui bastola!

Kisha anasema askari alijikagua kuonesha hakuwa na kitu mfukoni!

Yaani anajaribu kuziba mianya hadi ana haribu!

Huyu akibanwa vizuri atapiga mayowe mahakamani.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
1. Watu wawili wote, asiwepo hata mwenye shilingi 100 mfukoni jamani?

2. Maskari wakishazidi wawili utasikia wanaitana kwa majina, afande Suguti, lkn huyu kwenye eneo la tukio anafahamu mmoja tu, Jumanne!!!!

3. Inakuaj muuza mbege ajue upande zinapokaa magazine, au ni mhitimu wa JKT? Hadi namba za Bunduki?

4. Kuna walakini mkubwa sana katika maelezo. Kwa hiyo tuchukue yapi, chukua yote! Chukua yote??? Hapa ni Pep Guardiola anahusika kwenye formation
 
Huwa mnakenua meno hivi hivi alafu mkipigwa na vitu vizito mnaanza kulia!

Yani mnafurahia hizo porojo za kina kibatala wenzenu kuna vitu wanangalia zaidi ya hizo porojo
Vitu gani hivyo "vinavyoangaliwa" ambavyo havipitii hapo mahakamani na kila mtu akaviona?

Hujui kuwa wewe huna akili ya kutambua kuwa msingi wa HUKUMU YA HAKI ni kilichoelezwa mahakamani ktk hati ya mashitaka + ushahidi wa mashahidi wenu...??

Sasa kina Kingai wameamua kuingia kwenye vilabu vya mbege ili kutengeneza mashahidi na matokeo yake ndiyo haya, ushahidi wa kimbege mbege tu...!
 
Ni ushahidi siyo porojo
 
Serikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
Itakuwa wale wa karibu zaidi waliogopa huyu wa mbege tamaa zimemjaa akakubali kuingia kichwa kichwa....kwann wamlete mama mbege na si uongozi wa serikali ya mtaa?
 
1. Watu wawili wote, asiwepo hata mwenye shilingi 100 mfukoni jamani?

2. Maskari wakishazidi wawili utasikia wanaitana kwa majina, afande Suguti, lkn huyu kwenye eneo la tukio anafahamu mmoja tu, Jumanne!!!!

3. Inakuaj muuza mbege ajue upande zinapokaa magazine, au ni mhitimu wa JKT? Hadi namba za Bunduki?

4. Kuna walakini mkubwa sana katika maelezo. Kwa hiyo tuchukue yapi, chukua yote! Chukua yote??? Hapa ni Pep Guardiola anahusika kwenye formation
Yaan kuna mengi ya kujiuliza sana hadi details za silaha anazijua, mama mbege anajua kuna magazine yenye risasi, anajua madawa ya kulevya yalivyo,
 
Ya KUBUMBA Mkuu.

1. Watu wawili wote, asiwepo hata mwenye shilingi 100 mfukoni jamani?

2. Maskari wakishazidi wawili utasikia wanaitana kwa majina, afande Suguti, lkn huyu kwenye eneo la tukio anafahamu mmoja tu, Jumanne!!!!

3. Inakuaj muuza mbege ajue upande zinapokaa magazine, au ni mhitimu wa JKT? Hadi namba za Bunduki?

4. Kuna walakini mkubwa sana katika maelezo. Kwa hiyo tuchukue yapi, chukua yote! Chukua yote??? Hapa ni Pep Guardiola anahusika kwenye formation
 
Serikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
Dada Esther
 
Ilitakiwa akina Kibatala waombe kitambulisho cha NIDA cha huyo dada waoanishe majina, sura na saini yake. Hapo watapata taarifa za kweli pamoja na umri wake aliotaja mahakamani.
Unaona kuna haki itatendeka hapo? Kama bibi ameshatoa hukumu ndo imetoka ivo maana ataogopa kujidhalilisha kutokana na ile interview yake na salim kikeke
 
Shahidi namba 4 kashamkana shahidi namba 1 ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa ukamataji wa watuhumiwa.

Shahidi namba 4 anasema Jumanne ndiye alikuwa kiongozi, wakati shahidi namba 1 alidai yeye ndiye alikuwa kiongozi.

Patamu hapoooo
'hiyo ni curable errors' ...... Kingai
 
Back
Top Bottom