CHECHEMLENDA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2021
- 253
- 344
"Chuchumaa chini , Nyoosha Mikono Juu"
"Chuchumaa juu, Nyoosha Mikono Chini"
"Chuchumaa juu, Nyoosha Mikono Chini"
Hebu akupatue wasifu wa huyo mama hapo Rau, biashara zake na maisha yake Kwa ujumla. Anaishi hapo hapo Rau polisi walienda kumwazima kwingine.ANITA VALERIAN MTALO. Jina la shahidi kwa usahihi.
Mtu fulani wa Rau Madukani kanitumia inbox.
Kabisa......Hafai hata kwa bure......mkorogo umemwathiri usoni piaKuna picha nimeiona ni kibibi sio kama hiyo
Huyu mama ameolewa?Shahidi ni mjahidin mkatoliki......Tapeli
Akili yako imepinda kama pua la zege, jipige dole ushituke uone kama mama yako anaendelea kuhudumia barKwa akili uliyonayo unaweza mweka mama yako bondi bar
Nani kakwambia mtu akifa anakwenda kuzimu kuadhibiwa. Adhabu ni hapa hapa dunia bro, roho za akina wangwe ndiyo zinalipiwa hapa hapa. R.I.PGaidi ni yule aliyagiza kutungwa kwa kesi hii ya uongo na uzuri Mungu kamuwajibisha mapema kabla kesi haijaanza sasa hivi anabanikwa tu kama mshikaki huko kuzimu.
Sio imepinda kama k vant ya mama yako.????Akili yako imepinda kama pua la zege, jipige dole ushituke uone kama mama yako anaendelea kuhudumia bar
Inaonyesha wewe ni toto la K, hata wanao ulishachapa. Mr DJ ni gaidiSio imepinda kama k vant ya mama yako.????
Vaa chupi yako ondoka!!!🤣🤣Inaonyesha wewe ni toto la K, hata wanao ulishachapa. Mr DJ ni gaidi
1. Watu wawili wote, asiwepo hata mwenye shilingi 100 mfukoni jamani?
2. Maskari wakishazidi wawili utasikia wanaitana kwa majina, afande Suguti, lkn huyu kwenye eneo la tukio anafahamu mmoja tu, Jumanne!!!!
3. Inakuaj muuza mbege ajue upande zinapokaa magazine, au ni mhitimu wa JKT? Hadi namba za Bunduki?
4. Kuna walakini mkubwa sana katika maelezo. Kwa hiyo tuchukue yapi, chukua yote! Chukua yote??? Hapa ni Pep Guardiola anahusika kwenye formation
sasa ulitaka mashahidi wa upande wa mashitaka wamtetee mboe na wenzake?!.Ili mkaandae mashahidi wengine fake?