Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Sitaji location nisije fuatwa nikang'olewa kucha buree....
kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Sitaji location nisije fuatwa nikang'olewa kucha buree....
Unamtangazia nani sasa?
mkuu kinondoni ninayoijua mimi?au tayari mmeshachakachua,ccm kushinda kinondoni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Mungu akitaka kuwaondoa viongozi/watawala madarakani huwapiga upofu ili wasione yanaendelea na wakishakuwa vipofu hujawa na kiburi kwakuwa hawaoni huamini kuwa Wako sawa mwisho huwa Ni kuanguka Tu.
wananchi wanayataka mabadiliko siyo kuyahitaji tena "wanayataka" waliopo madarakani hawalioni hili wamepigwa upofu, CCM wataendelea na kuamini Wako sawa kwani wanatazama lakini hawaoni.
Unazungumzia Arusha ipi?
Karibia vituo vyote
Endeleeni kufarijiana kana
kwamba chaguzi zote mtatumia kete na hujuma hizi za kuengua wagombea
mlizotumia! Wananchi tuna hasira na nyie na uchaguzi mkuu mtatukoma wezi
nyie
jereta limeletwa hapa nyahanga shuleni. sijui ni kwa ajili ya mwanga kwa kuwa wamechelewa kuanza kupiga kura, ngoja tusubili tuone.