Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
Taja majina ya kata
jomba mmepingwa mti mkavu ni shangwee hapa Karatu ccm 0 Chadema imebeba viti vyote !!!
Taja majina ya kata
Nipo hapa Mbeya, kada wa chama tawala. Hata hivyo pita pita ya ngu mitaani hadi kule Rungwe nimejionea mwenyewe hali ilivyo tete kwa CCM.
Ni kama CHADEMA wao wamejitayarisha vizuri, na wapo kila mahala. Huu si oungo ,maana wameteka vijana wengi na bendera hasa Ile pana ziko kila mahala.
Jana niliona magari kadhaa ya matangazo na uhamasishaji ya CHADEMA, lakini sikubahatika kuona hata moja la CCM.
Nimefika Kiwira ndo balaa! Mchana vijana walifunga barabara kwa mdundiko uliokuwa ukiongozwa na gari ya matangazo ya CDM!
CCM najionea huruma lakini tusubiri tu.
wakuu hawa ukawa wametubana sana hata vile vi tiktak vyetu wana viotea siamini kitaeleweka tu jioni wakichoka doria au mnaonaje wakuu
Ibeni kura kama vp
Mtaa wa Tegeta wagombea wenyeviti ni wawili tu ambao ni kutoka ACT-TANZANIA NA CCM,CCM baada ya kuona wameelekea kushindwa wamevamia box la kura na kuzimwaga chini ambapo hadi sasa imepelekea mzozo mkubwa wapinzani wameelekea kwa mkurugenzi baada ya msimamizi wa uchaguzi kugoma kusitisha zoezi na CCM wakipambana zoezi liendelee,hali tete sana CCM Inasikitisha kukifanyia hujuma chama ambacho hata miezi 7 hakina kweli Act imekuja kuweka historia
Huku Sae sisi mtaa wa Hayanga bado tunasubiri matokeo hawajatangaza tupo tunasubiria makamanda tupo hapa kibao mpaka kieleweke wazee tuko pamoja
Mwanza mtaa wa kiseke Mgombea wa Chadema ameshinda kwa kura 147
Mabumu= MabomuMabumu ya machozi yanarindima hapa KWIMBA MJINI kisa furaha ya wananchi dhidi ya chadema wananchi wanashangilia imekuwa kero kwa ccm na police.