PetterIsuti
Senior Member
- Nov 29, 2014
- 118
- 28
Huko Mkoani Mara Wilayani Tarime kijiji cha Nyasaricho kati ya vitongoji 5 tayari Chadema wameshachukua kitongoji kimoja na uchaguzi ya kijiji Mgombea wa Chadema anaongoza kwa 87 dhidi ya 12 za mgombea wa ccm.
N.b:- ni matokeo ya kitongoji kimoja kati ya vitano hvyo matokeo yanaweza kubadilika mda wowote
N.b:- ni matokeo ya kitongoji kimoja kati ya vitano hvyo matokeo yanaweza kubadilika mda wowote