Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Katika hali ya kushangaza leo chadema wanashirikiana na ccm kigoma ujiji watu wa chadema wanawaambia wananchi tena kwa kuwahonga kuliko kupigia kura act bora wachague ccm hii ni ukawa nyingine mpya

Wataje waliosema hivyo
 
umejuaje kuwa wameenda kupiga mara tatu tatu vituo tofauti? unauhakika gani kuwa wanaofanya hivyo ni ccm?
je wewe ni mmoja wao wa waliopiga kura zaidi ya mara moja?
naona porojo tu kwenye huu uzi wako.

Habari wakuu.

Ikifahamika leo ndiyo iliyokuwa siku rasmi ya uchaguzi kwa ngazi za serikali za mtaa. Huku maeneo ya Mabibo watu wanapiga kura mpaka mara tatu kwani kama inavyofahamika mara upigapo kura basi utapakwa wino kuthibitisha kwamba umeshapiga kura lakini wino huo hautumiki badala yake mtu akishapiga kura anaondoka hivyohivyo na hii inatoa mwanya kwa mpigaji kwenda kituo kingine kupiga kura tena.

Kwa tafiti nilizofanya kituo hiki kimenunuliwa na CCM kwa hiyo kila kinachoendelea mahali hapa pamoja na kuvunjwa kwa kanuni za uchaguzi hakuna anayehoji wakiwemo wasimamizi wa uchaguzi huu.

Nayasubiria matokeo ya kupikwa yatangazwe.
 
Katika hali ya kushangaza leo chadema wanashirikiana na ccm kigoma ujiji watu wa chadema wanawaambia wananchi tena kwa kuwahonga kuliko kupigia kura act bora wachague ccm hii ni ukawa nyingine mpya

zitto akisomaga upuuzi kama huu hata hamu ya kuja huko imuishia, ndio maana anatoa masharti ila arudi chama makini
 
kumbe watu wanamoyo sana,aisee,ngoja tusubiri matokeo tuone nani kapata nini
 
Na nyie RAIA mmekuwa dhaifu sana, mtu anatoa rushwa mnamwangalia tu? Huyo alikuwa Wa kuchoma moto kabisa, hana tofauti na vibaka mnaowatia kiberiti mkidai nyie ni raia wenye hasira kali au kama ni m-mama mngemgegeda hadharani!! Mkuu mmeonesha udhaifu mkubwa kabisa!!

mkuu hii nayo Kali utakuwa umekiuka haki za binada
m ila kwa suala LA rushwa adhabu hii ni sahihi kuliko kumchoma Mwizi Wa kuku.mtoa rushwa
 
Back
Top Bottom