Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Kwa nini sijui wanamuogopa.!CCM wanamuogopa sana huyu mtu sijui kwanini?
Kwa nini sijui wanamuogopa.!CCM wanamuogopa sana huyu mtu sijui kwanini?
Anapata haki zote za mstaafu na tume ya taifa ya uchaguzi ilimpitisha kuwa mgombea wa urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuwa anasifa zote za kuwa raisi. JITAMBUE.Mstaafu[emoji808]
Aliyelazimishwa kujiuzuru kwa kashfa ya wizi[emoji818]
Kasome tena.MC atakapokuwa anamkaribisha Lowasa KUKABIDHI VYETI aseme
"SASA TUNAKUKARIBISHA MHESHIMIWA LOWASA UKABIDHI VYETI HEWA VYA KUMALIZA VYUO KWA WANAVYUO WAFUATAO AMBAO BADO HAWAJAMALIZA VYUO VYAO NA MATOKEO YA MITIHANI YAO BADO" karibu sana mheshimiwa ukabidhi vyeti hewa.
Sina nia mbaya mkuu,nadhani hata wewe unajua matatizo ya mzee
Shida yako niniNa bado mwisho mtaanza kumualika kwenye birthday party za watoto wa daycare
Kama huzioni pole.Updates hata tupicha hakuna
View attachment 357567 Mgeni rasmi Mh Edward Lowasa ameshawasili ukumbini tayariView attachment 357560 View attachment 357561
Hebu taja 1wa ccm mwenye kutoa mbinu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] poor uWakuu,
Nimemshangaa sana kiongozi badala ya kuwapa vijana mbinu za kupambana na umaskini anaanza kuongelea siasa
Najiuliza tu hivi ile ilikuwa ni sehem sahihi kwa mh lowasa kuzungumzia masuala ya kampeni za mwaka 2020 wakati vijana wanahitimu na asilimia kubwa hawana uhakika wa kuajiriwa?
Ifike mahala viongozi wawatendee haki vijana ambao wana matumaini makubwa kwa viongozi hao.
Nimependa alichoongea Meya angalau kinaendana na mantiki ya siku husika, ukizingatia ile ni siku ya mahali ya wahitimu wa vyuo vikuu Mkoa wa DSM.
Viongozi wetu hizi siasa muwe mnaangalia na mahala pa kuziwasilisha...maeneo mengine hayahitaji siasa.
Imenisikitisha saaaana.
napita tu leo hawakupata habari za kiintelejensia au wako mwanza na tangaLowasa ataendelea kuwanyima sana usingizi CCM
CCM ndiyo walimtengenezea hicho cheo!!!Waziri Mkuu Mstaafu, acha kupotosha.!
Sema
Ni Waziri Mkuu aliejiuzuru kwa kashifa ya Richmond .
Hebu taja 1wa ccm mwenye kutoa mbinu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] poor u
Watu na shughuli zao wanasagaje meno. Acha upuuzi.Hata wale wengine walideki lami ila sahivi wanasaga Meno
ni wajinga na vichaa pekee ndio wanaamini LOWASSA alishinda Uchaguzi mkuu uliyopita. Endeleeni Kuigiza tena na tena
Nasikia mnalowanisha nguo za ndani? Kwani hamkujua?Ukiona hivyo siasa zimewashinda
Kwani hakushinda?Mzee muda mwingine sijui vipi. Aliongopea umma kuwa atashinda uchaguzi.
Kwapige wewe hayo MabomuYaani hawa ndio maana wanastahili kupigwa mabomu; inakuwaje mahafali yanageuka mkutano wa kampeni, na kusema vibaya vyama vingine, na mipango ya kugombea 2020! Washughulikiwe.
kama unataka haki yako usiogope polisi,waombe tu kibali ,pia msome winnie mandela utanielewa nini nasema,au msome Malcolm X;Sisi tatizo letu ni kulalamika tu no actionsMaandamano hayo yafanyikie wapi?
Na polisi wakiwa wapi?