Unaathirika vipi na EL kuzungumza dakika tano? Ulianza na ufisadi, umekosa hoja sasa umehamia kwenye kuzungumza dakika tano! Wewe ili uelewe unahitaji umsikilize mtu kwa dakika ngapi?dakika tano unapata nin hata mtoto anaweza kupngea
Za matukiopicha gan tena kibosho
dakika tanoUnaathirika vipi na EL kuzungumza dakika tano? Ulianza na ufisadi, umekosa hoja sasa umehamia kwenye kuzungumza dakika tano! Wewe ili uelewe unahitaji umsikilize mtu kwa dakika ngapi?
Updates bila Picha aina ladha....
Nadhani katika ukoo au kabila lako hakuna mtu ambaye intellect yake ni kama Tundu Lisu.Tundu Lissu angefaa zaidi huyo mfugaji anawapunguzia wanachama na wapenzi.
Raisi wetu ameshawasili ukumbini tayariUzi kama huu hunoga zaidi ukiongezwa nyama na vijipicha picha .
ya dakika tanoZa matukio
mbona yule aliyebambikwa ikulu amakalia mkao wa kulia kila siku anajuta kwa nini aliwekwa kwa ajali ya kisiasa hajui aanzie wapi anatengeneza watu wakumuabudu badala ya kukuza uchumi si bora anayeongea na vijana ambao ndio wenye nchiDaah kutoka kuingia Ikulu mpaka kuingia Karimjee kugawa vyeti kwa wahitimu..?
Leo tutajua kama alisomea sanaa na atakuwa nje ya mada baada ya kuzungumza kuhusu elimu ataleta siasa.
Mbona 'wanaomtetea' Profeseri Lipumba aliyewaita "Maintarahamwe" mmewaruhusu waandamane? Acha CHASO nao wafanye yao nendeni mkawapige mabomu!Mnakibali cha polisi?
Hivi Fisadi Lowasa atakwenda lini kuchunga ng'ombe kama alivyo ahidi? Mbona ana ng'ang'ania mjini?
basi tuendelee na push up tu manake ndio zinazoleta maendeleoyaaaan chadema wakishika nchi hatari sana kwa aman wanalazimisha wanachotaka wao
.wote tuamini ni nyeupe wakati ni nyeusi
Kwakweli nimefarijikaView attachment 357567 Mgeni rasmi Mh Edward Lowasa ameshawasili ukumbini tayariView attachment 357560 View attachment 357561
Kamdekie Barabara.!