Unajifanya Hujui Wakati Mnapewa Buku Saba Kwa Kuandika Umbea.
Jina la bwana libarikiwe sanaLowasa leo kama raia wengine amafika. Mlimani city baada ya kutoka karimjee.
Kitu kizuri ni jinsi watu walivyo mlaki kwa furaha wengi wakitaka kupiga picha naye hata wengine kupiga kwa kuibia just tuu wapate picha yake.
Huyu mzee ni balaa
![]()
![]()
![]()
![]()
Haaaa... Haaaa yale matisheti ya kijani wameiga lakini wapi..... MabayaaaaWakuu naomba nitoke nje ya mada kidogo , kiukweli tukiacha majungu hizi fulana zimewapendeza sana hao vijana hadi raha ! Mijitu ya ccm imejaribu kuiga lakini wapi ! Yale mafulana yao ukivaa unakuwa kama unaenda kugombea posho ya elfu 2 tu , Hongereni sana chadema .
Ningewashangaa sana kama wewe kuhadi usingefika hapa kuongea pumba zako hizo.Fisadi Lowasa ni ego tu inamsumbua hakuna kingine!
Ni mtu anayependa sana ukubwa, sasa ukubwa umeondolewa hivyo anautafuta kwa kila hali, watu kama hawa ni shida sana hata chadema ni lazima atakuwa anawaendesha sana, hata mke wake pia lazima atakuwa anachepuka, kwa maana mtu anayependa attention kama mtoto mdogo kama huyu kuishi naye inahitaji moyo!
![]()
acha ufala usipende kufananisha ovyoYan utafikiri Ni Yesu kaonekana, huyu ndo yule Mwanaume aliebarikiwa
Ametisha
Halafu na mie siku moja nikiwa Game mlimani city nilimuona Lemutuz nikasahau kupiga jipicha
Fisadi Lowasa ni ego tu inamsumbua hakuna kingine!
Ni mtu anayependa sana ukubwa, sasa ukubwa umeondolewa hivyo anautafuta kwa kila hali, watu kama hawa ni shida sana hata chadema ni lazima atakuwa anawaendesha sana, hata mke wake pia lazima atakuwa anachepuka tu, kwa maana mtu anayependa attention kama mtoto mdogo kama huyu kuishi naye inahitaji moyo!
![]()
Yaani hawa ndio maana wanastahili kupigwa mabomu; inakuwaje mahafali yanageuka mkutano wa kampeni, na kusema vibaya vyama vingine, na mipango ya kugombea 2020! Washughulikiwe.Tungoje magazeti ya kesho!